Hazina Haina Kitu: Wazabuni, Makandaradi, Madeni, ni taabu

Licha ya Serikali ya Tanzania kuwa na upungufu mkubwa wa Dolla ya kimarekani, haijatosha na bado serikali ya Tanzania Inaonekana kuwa na Uhaba mkubwa wa Fedha za ndani ambazo Ali maarufu wanaziita madafu yaani Tsh, Hali hii imepelekea maisha kuwa magumu mtaani Kwa minajili kwamba ajira nyingi za sekta binafsi zinategemea serikali, kwani nyingi zinapata flow ya pesa kutoka Kwa mwigulu nchemba na wizara yake kiujumla.

Hali ya Hazina ni mbaya sana, pesa hakuna, ila tujikumbushe kuwa serikali kamwe haiwezi kufeli, na hiki ni kipindi cha mpito.

Hata wote tunakumbuka serikali ya Ugiriki ilivyodondoka kiuchumi, na kuokolewa na serikali ya ujerumani Kwa kuingiza Fedha kiasi Cha Dolla bilioni 100, kama Mkopo Kwa Greece , ambapo mpaka Sasa Mkopo huo uliweza kulipwa kupitia staili ya mabeberu ya magharibi ya kutumia ukoloni mamboleo.

Hali hii pia tunashukuru tumeweza kuijua kwakuwa serikali iliyopo madarakani imeruhusu uhuru wa kuongea , kwani ingekuwa enzi zile habari hii ingekuwa ni Siri kubwa
Ndio hivyo si kumejaa mchwa ,huku maama anawachukua wezi walikataliwa anawarudisha serikali .baba kaacha 5b usd mama kazikomba zote
 
Nimepita mbezi nikashuka kununua mazaga, maniner dah...bei ya mkate inazidi kupanda tu, maji ya kunywa yanapanda bei, pombe zimepanda bei..
Hala bi tozo anatapanya hela huku Na kule eti anatutsftia hela huko nje
 
Licha ya Serikali ya Tanzania kuwa na upungufu mkubwa wa Dolla ya kimarekani, haijatosha na bado serikali ya Tanzania Inaonekana kuwa na Uhaba mkubwa wa Fedha za ndani ambazo Ali maarufu wanaziita madafu yaani Tsh, Hali hii imepelekea maisha kuwa magumu mtaani Kwa minajili kwamba ajira nyingi za sekta binafsi zinategemea serikali, kwani nyingi zinapata flow ya pesa kutoka Kwa mwigulu nchemba na wizara yake kiujumla.

Hali ya Hazina ni mbaya sana, pesa hakuna, ila tujikumbushe kuwa serikali kamwe haiwezi kufeli, na hiki ni kipindi cha mpito.

Hata wote tunakumbuka serikali ya Ugiriki ilivyodondoka kiuchumi, na kuokolewa na serikali ya ujerumani Kwa kuingiza Fedha kiasi Cha Dolla bilioni 100, kama Mkopo Kwa Greece , ambapo mpaka Sasa Mkopo huo uliweza kulipwa kupitia staili ya mabeberu ya magharibi ya kutumia ukoloni mamboleo.

Hali hii pia tunashukuru tumeweza kuijua kwakuwa serikali iliyopo madarakani imeruhusu uhuru wa kuongea , kwani ingekuwa enzi zile habari hii ingekuwa ni Siri kubwa
Mwigulu alipeleka bungeni Mabadiliko ya Sheria ili Wawekezaji wakubwa wasilipe kodi na Bunnge la Tulia likaipitisha hiyo Sheria sasa wafanyabishara wakubwa wote hawalipi kodi kwa mujibu wa Sheria
 
Upuuzi tuu,wewe umeona huyo aliyeandika kaweka ushahidi wowote au ni porojo zake? Mwambie haitakaa itokee.

Umewahi sikia wapi Uchumi ukadorora na miradi inaongezeka?

View: https://twitter.com/InvestTanzania/status/1691063186206945281?t=xsAIct7lxeHRlbV1vttr1g&s=19

View: https://twitter.com/InvestTanzania/status/1691459706781634560?t=QzLLcYaIe9aHptN9kbnWgA&s=19

Unapotumia lugha zisizo na weledi kuwasilisha hoja ama kujibu hoja inaonesha mapungufu na udhaifu mkubwa.

Serikali inapaswa kujibu hizi hoja za mitandaoni kuelezea hali ya uchumi wa nchi.
 
Wewe Huwa sikuelwewi, nimekwambia huyo mtoa mada anafanya uzushi tuu wa siku zote Kwa sababu za Msukumo wa chuki za Kisiasa au chuki binafsi. Mtu hajaweka ushahidi wa anachoongea unasema Serikali ijibu sana sana ni kumtia Mbaroni tuu.

Mwisho nimekuwekea ushahidi murua.kabisa kwamba miradi inazidi kumiminika rekodi Juu ya rekodi Bado hutaki,wewe unataka nini?

Ushahidi mwingine huu hapa 👇

View: https://twitter.com/TanzaniaInvest/status/1690037158936039424?t=_WrtvzirOtgczizGC1-Ueg&s=19
 
Nimekuelewa
Jambo la kutonielewa ni kawaida.

Kikubwa tuelimishane status ya nchi ywtu.

Uzushi usipojibiwa hupelekea mitafaruku inayoweza kuepukwa.

Contents za post uliyotuma zinaonesha kuna progress. Lakini kwa nini serikali yetu hususan sekta ya kilimo inabinya sana mianya ya exports? Bodi za mazao zinaregulate pricing na internal markets. Zingekuwa zinafanya tafiti za masoko hususani masoko huria tungekuwa tunajaza mameli pale bandarini kusafirisha chakula kilichosindikwa nje.

Juzi nimenunua veg slasher ya mkono. Ni imported kutoka Uturuki. Nadhani serikali ijikite kwenye kusababisha internal production ili kukidhi soko na kuexport.....

Nimewaza tu
 
Wazushi hata wakijibiwa Huwa wanataka waendee kuwa Wazushi Kwa sababu Wana chuki Sasa Kwa kuwa uzushi ni kosa hao dawa Yao ni kuwashughulikia.
 
Duh! Kama ni kweki hii thread si nzuri hata kwangu pia jameni! Itabidi tuombee mazuri ili tulipwe!
 
Wabongo muwe na kiasi,,

Sio kila kitu kujitia kujua, Kwa kawaida mwez July had August mifumo ya fedha serikalin inakuwa imefungwa Kwa ajili ya ukamilishaj wa maandaliz ya bajet mpya.

Utaona kuanzia September Mambo yanabadilika.
Ikawe hvyo nitafurahi mno na kutulia
 
Licha ya Serikali ya Tanzania kuwa na upungufu mkubwa wa Dolla ya kimarekani, haijatosha na bado serikali ya Tanzania Inaonekana kuwa na Uhaba mkubwa wa Fedha za ndani ambazo Ali maarufu wanaziita madafu yaani Tsh, Hali hii imepelekea maisha kuwa magumu mtaani Kwa minajili kwamba ajira nyingi za sekta binafsi zinategemea serikali, kwani nyingi zinapata flow ya pesa kutoka Kwa mwigulu nchemba na wizara yake kiujumla.

Hali ya Hazina ni mbaya sana, pesa hakuna, ila tujikumbushe kuwa serikali kamwe haiwezi kufeli, na hiki ni kipindi cha mpito.

Hata wote tunakumbuka serikali ya Ugiriki ilivyodondoka kiuchumi, na kuokolewa na serikali ya ujerumani Kwa kuingiza Fedha kiasi Cha Dolla bilioni 100, kama Mkopo Kwa Greece , ambapo mpaka Sasa Mkopo huo uliweza kulipwa kupitia staili ya mabeberu ya magharibi ya kutumia ukoloni mamboleo.

Hali hii pia tunashukuru tumeweza kuijua kwakuwa serikali iliyopo madarakani imeruhusu uhuru wa kuongea , kwani ingekuwa enzi zile habari hii ingekuwa ni Siri kubwa
Kua kiongozi bila kupigiwa kura huwezi kua mtawala,mtu muda wote mipasho na taarabu..angalia uzinduzi mpka wa kioski anahudhuria,elimu ya kuunga na super glue sio elimu
 
Back
Top Bottom