ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
- Thread starter
- #41
Wewe endelea kusubiri source, na usidhani serikali itaita Waandishi wa Habari ku declare failure zao hazarani. Kuwa muelewa sometimeSource ya Taarifa hii Iko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe endelea kusubiri source, na usidhani serikali itaita Waandishi wa Habari ku declare failure zao hazarani. Kuwa muelewa sometimeSource ya Taarifa hii Iko wapi?
Kama wako madarakani kwa wizi wa kura unategemea nini?chadema mkisikia udaku /uongo wa serekalini hakuna hela mnafutahi kwelikweli,ajabu sana!
Dpw wameanza kupandisha bei ????!! 😅😅. Musituchekeshe bhana 😅😅🙏🙏
Mwigulu ni sehemu ndogo sana ya tatizo, tatizo limeanzia kwa....mwenyewe.Ushauri wa bure.
Mama amtoe Mwigulu pale hazina.
Kwanza itastabilaiz uchumu lkn pia itapandisha umaarufu wake.
(Jamani Mwigulu hamudu pale labda kusimamia mabasi na vituo vya mafuta, sio hazina ya nchi)
Kula maisha mzee 😅 life is too limited 😅😅🙏Chadema wanavinjari na Chopa tu 😂😂
Anawachora tu !😅Dr wa uchumi na mwana JF nwigulu nchemba anasemaje?
Wabongo hawashindwi kitu ili kupiga, check Sasa hivi wanapigia Dili kwenye ukamataji wakosoaji then wanawaachia gharama za ukamataji hazirudi zimeingia mifukoniUcheleweshaji wa kulipa wazabuni ni JANJAJANJA ya wahuni kupiga pesa kwenye FAINI ambayo serikali itatozwa.
Changamoto ni posho zimepanda kwa 130% katikati ya umasikini kama huuLicha ya Serikali ya Tanzania kuwa na upungufu mkubwa wa Dolla ya kimarekani, haijatosha na bado serikali ya Tanzania Inaonekana kuwa na Uhaba mkubwa wa Fedha za ndani ambazo Ali maarufu wanaziita madafu yaani Tsh, Hali hii imepelekea maisha kuwa magumu mtaani Kwa minajili kwamba ajira nyingi za sekta binafsi zinategemea serikali, kwani nyingi zinapata flow ya pesa kutoka Kwa mwigulu nchemba na wizara yake kiujumla.
Hali ya Hazina ni mbaya sana, pesa hakuna, ila tujikumbushe kuwa serikali kamwe haiwezi kufeli, na hiki ni kipindi cha mpito.
Hata wote tunakumbuka serikali ya Ugiriki ilivyodondoka kiuchumi, na kuokolewa na serikali ya ujerumani Kwa kuingiza Fedha kiasi Cha Dolla bilioni 100, kama Mkopo Kwa Greece , ambapo mpaka Sasa Mkopo huo uliweza kulipwa kupitia staili ya mabeberu ya magharibi ya kutumia ukoloni mamboleo.
Hali hii pia tunashukuru tumeweza kuijua kwakuwa serikali iliyopo madarakani imeruhusu uhuru wa kuongea , kwani ingekuwa enzi zile habari hii ingekuwa ni Siri kubwa
Huu sasa ndo UJUAJI.Wabongo muwe na kiasi,,
Sio kila kitu kujitia kujua, Kwa kawaida mwez July had August mifumo ya fedha serikalin inakuwa imefungwa Kwa ajili ya ukamilishaj wa maandaliz ya bajet mpya.
Utaona kuanzia September Mambo yanabadilika.
Wavivu kwa kulalamika hamuwezekani.Fanyeni kazi acheni uvivu.Kimsingi uchumi wa Tanzania umekufa chali , wanaficha tu , hebu jaribu kutembelea kariakoo , wenye nafuu ni wauza unga tu
Wavivu kwa kulalamika hawawezekani.Hali mbaya ,manina .Jua mpaka mfukoni
Watu wavivu kwa kulalamika hamuwezekani.Fanyeni kazi,acheni uvivu.Enzi zile sawa mlinyimwa uhuru wa habari lakini hakukuwai kuwa na mfumuko wa bei za kishenzi kama hizi za maushungi.watu hawali uhuru wa habari.
Watu wavivu kwa kulalamika hawawezekani,acheni uvivu,fanyeni kazi.Pesa tunamalizia kuhonga Waandishi wa habari, Wanasheria nk ili DP WORLD apewe bandari. Tuna tatizo la msingi Kiuongozi Nchi hii.
Maono yangu, UBINAFSISHAJI WA TPA Utangazwe wazi Makampuni yote yapewe uwanja sawa wa kiushindani tupate mwekezaji wa zao la ushindani.
Sio kutuletea wajomba zenu....ova
Acha uvivu.Watu wavivu kwa kulalamika hamuwezekani.Fanyakazi,asiyefanyakazi asile.Serikali iliyofeli kuliko zote kutokea nchini
Haijawahi tokea Tanroad kushindwa kulipa wakandarasi lakini sasa hivi wameshindwa kulipa mama hela ya Road Funds inapeleka Bwala la Mwalimu.HAKUNA MRADI ULIOSIMAMA KWA KUKOSA FEDHA,
Note this!