Hazina Haina Kitu: Wazabuni, Makandaradi, Madeni, ni taabu

Taarifa za hovyo sana hizi. Kama wewe mzabuni unadai subiri utalipwa kulingana na taratibu badala ya kuja huku kusema uongo.
 
Huu sasa ndo UJUAJI.

Mkuu, una maanisha wote humu hatujawahi kuishi kuiona hiyo July/August transition before?

Kuwa mvumilivu kidogo kwenye maoni ya wengine
Transition haziwez kufanana , muhim kutambua kuwa hali ya July August huambatana na changamoto Kama hiz
 
Serikali yangu - mtu kama Mwigulu, Nape, January - Hawa hawawezi kufanya kazi kwa weledi kutusaidia wwnanchi kusonga mbele.

Walitakiwa wapumuzike tu - MILANGO WALIOTUMIA KUFIKA HAPO IMEJAA VIMEMO NA UFISADI MWINGI.
 
Biashara zote sasa hivi hazitoki...wateja hamna[emoji24]..hela hamna yaani...
Njoeni Nanjirinji muone kulivyodamshi, msimu wa ufuta umeisha sasa tupo msimu wa mbaazi, baada ya hapo unafuatia wa korosho, lete biashara yako iwe vifaa vya ujenzi, chakula, usafiri, vinywaji ,madawa ya kilimo au hata uchawi watu watanunua tu.
 
Mbona unaandika habari za hear say ambazo hazina ushahidi? Mkikamatwa mkathibitishe mtajibu nini hasa? Punguzeni ujinga basi.
 
unaongea hivyo wakati watu wanasubiri mwishoni mwa august waongezewe mishahara. viva tanzania
Mkuu wasitutishe hawa wasiojua. Kila mwaka kwa kipindi cha Julai hadi katikati ya Agosti Serikali usitisha malipo yote kw ajili ya kufanya reconciliation na kuhama kutoka bajeti ya mwaka unaopita na kuingia bajeti mpya. Na kwa taarifa zao, mifumo imeishafunguka tangu wiki iliyopita na mambo yanaenda kuwa mazuri. Viva Tanzania Viva!!!
 
Tunaambiwa kila siku wawekezaji wameongezeka na watalii wanamwagika kila siku kwa ajili ya Royal tour na uchumi unapaa sasa tunakosaje madafu
 
ChoiceVariable mungu wa uchumi wa nchi hii. Hii taarifa una maoni gani kuokoa jahazi?πŸ˜„πŸ˜„
 
Si wachapishe noti za madafu kwa wingi.?!
Au imekosekana pesa ya kumpa mzabuni atuchapie hela ya madafu
 
Ni kweli mifumo ikifunguliwa kuanzia September bei za bidhaa hasa Petroleum na Cement zitashuka
akili hii ndio maana hata bandari imewashinda kuendesha
yaani unashindwa kupanga mambo ya mwaka mpaka septemba ndio mjue ili ni lipi na lile ni lipi?
 
Kwani ile advance ya Dobo Payment Weld imeiisha? Mwambieni mgulu wa chemba afyatue mipesa mingi kama zimbabwe.
 
Wewe inafaa ukapimwe mkojo npamoja na akina mdude nyangali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…