Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Excuse my dia! Nauliza nyie ma'heavens wa dunia na wa jangwa, mwatoka in the same clan au?
Si umwambie tu unazunguka zunguka nn tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Excuse my dia! Nauliza nyie ma'heavens wa dunia na wa jangwa, mwatoka in the same clan au?
Si umwambie tu unazunguka zunguka nn tena.
Nifafanue yaani nikupe maneno ya kumwomba Heaven on earth.
Mpenzi wangu, la aziz Heaven on earth mbona atukei hapa
NINI TENA mkuu?Mgagaa na wali, hali upwa mkavu! Mtoamada zidi kujikurubisha.
Na mnavyosindikwa kama mbilimbi na kuzibwa na mifuniko kwan hata mwafurukuta.
Excuse my dia! Nauliza nyie ma'heavens wa dunia na wa jangwa, mwatoka in the same clan au?
jamani wandugu tazameni spidi ya huyu mdada sweetie Heaven on earth
Total Posts
Total Posts 4,317
Posts Per Day 29.27 Last Activity Today 18:15 Join Date 21st March 2013
nashangaa jamani hata wasikupe wewe sifa zote hizo kwani wastahili post 15852 ni nyingi best
mhm! jamani makubwa haya