Ally Kamwe asema kikosi cha Yanga kitawasili saa 11 uwanjani kujiandaa na Mechi ya dabi leo jioni

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Meneja Habari Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe anasema timu itawasili uwanjani saa 11:00 jioni kujiandaa na mechi ya leo jioni.

Itakumbukwa bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kupitia Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imetangaza kuahirisha Mchezo wa Yanga dhidi ya Simba kwa mujibu wa Kanuni ya 34:1(1.3) ya Ligi Kuu, ili kutoa nafasi ya kupata taarifa zaidi kuhusu malalamiko ya Simba kuhusu kuzuiwa kufanya mazoezi kwenye Uwanja wa Mkapa, jana Machi 7, 2025

Taarifa ya Bodi imesema inasubiri uchunguzi zaidi ili usaidie kufanya maamuzi ya Haki na kuwa itatoa taarifa kamili kuhusiana na tukio hilo na kutangaza tarehe ya Mchezo huo mapema iwezekanavyo

Awali, usiku wa kuamkia leo Klabu ya Simba ilitangaza kuwa haitapeleka Timu uwanjani kutokana na tukio hilo ikiwatuhumu baadhi ya Watu wa Yanga kushiriki kuwazuia kuingia Uwanjani. Upande wa pili Yanga ikatoa taarifa kuwa itapeleka Timu uwanjani kama kawaida
1741435824822.png
 
CCM Ndio inapenda vijana Wa Tanganyika waweke nguvu zao huko kwenye simba Na YANGA".

Great Thinker
.

Leo Tutaona Nyuzi za Simba na Yanga zaidi ya elfu 60 humu jukwaani.
Ukizungumzia utawala unapozwa,sasa ni bora kuzungumzia simba
 
View attachment 3263644
Sasa injinia ndie atakuwa mwamuzi wa kati ama? Ujinga juu ya ujinga
 
CCM Ndio inapenda vijana Wa Tanganyika waweke nguvu zao huko kwenye simba Na YANGA".

Great Thinker
.

Leo Tutaona Nyuzi za Simba na Yanga zaidi ya elfu 60 humu jukwaani.
Na wewe ulivyo mwehu upo hapa hapa ukifatilia hizo Simba na Yanga.
 
Kuna taarifa kwa Umma ya Bodi. Wao sio umma?
Yanga ina ofisi hiyo barua hawajaipata kama ofisi ndio maana maandalizi ya mechi yana endelea hamna ofisi inayofanya kazi kupitia Instagram, labda nyie huko kwenu.Halafu si mmegoma, endeleni na mgomo si tunaendelea na mechi ya jioni.
 
CCM Ndio inapenda vijana Wa Tanganyika waweke nguvu zao huko kwenye simba Na YANGA".

Great Thinker
.

Leo Tutaona Nyuzi za Simba na Yanga zaidi ya elfu 60 humu jukwaani.
Mbowe alikuwa akiwaletea mambo serious mnalala mbele. Muda huu unahubiri Ugreat thinker.
 
Timu zingine zikatae uhuni unaofanywa na yanga wakishirikiana na baadhi ya viongozi wa kisiasa
 
Meneja Habari Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe anasema timu itawasili uwanjani saa 11:00 jioni kujiandaa na mechi ya leo jioni.

Itakumbukwa bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kupitia Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imetangaza kuahirisha Mchezo wa Yanga dhidi ya Simba kwa mujibu wa Kanuni ya 34:1(1.3) ya Ligi Kuu, ili kutoa nafasi ya kupata taarifa zaidi kuhusu malalamiko ya Simba kuhusu kuzuiwa kufanya mazoezi kwenye Uwanja wa Mkapa, jana Machi 7, 2025

Taarifa ya Bodi imesema inasubiri uchunguzi zaidi ili usaidie kufanya maamuzi ya Haki na kuwa itatoa taarifa kamili kuhusiana na tukio hilo na kutangaza tarehe ya Mchezo huo mapema iwezekanavyo

Awali, usiku wa kuamkia leo Klabu ya Simba ilitangaza kuwa haitapeleka Timu uwanjani kutokana na tukio hilo ikiwatuhumu baadhi ya Watu wa Yanga kushiriki kuwazuia kuingia Uwanjani. Upande wa pili Yanga ikatoa taarifa kuwa itapeleka Timu uwanjani kama kawaida
View attachment 3263644
Watakuta uwanja umefungwa
Au hawataruhusiwa kuingia
 
Watakuta uwanja umefungwa
Au hawataruhusiwa kuingia
Uwanja upo wazi na watu wanaingia mda huu.Anacho fanya Yanga yeye ni kufuata kanuni then baada ya hapo anajua kishamalizana na Kolo FC anasubiria mechi nyingine.
 
Mechi aiwezi kuahirishwa kienyeji kienyeji kama mnavyodhania eti kisa timu imezuiwa kufanya mazoezi,,yanga acha wakamilishe taratibu na akuna derby nyingine msimu huu tuone bodi ya ligi watasimamia kanuni na Sheria Gani
Good
 
Back
Top Bottom