mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,862
- 3,574
Huyo mzee 'entity' alikuwa anaitamka "entetee" sema alikuwa poa sana kwenye Philosophy of education.Maganga udsm mzee wa EF100
asee akikurushia pen unakuja mbele kujibu maswali... Namkumbuka kwa vituko vyake...alifariki mwaka jana nadhani... Mwingine ni Dr manoko botany hiyo udsm hizo scientific names mapka Kichwa kinauma
Kumbe Prof. Rugumamu ndio maana ni best wa Prof. Ngware, naye alikuwa na misemo hiyo hiyo kuwa ukiona gari langu Manzese piga simu polisi[emoji16]
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijari = Usijali?Ningemtaja mwanzo wa uzi huoni angewafunika wengine wote? Nitawataja baadae usijari!
Pitia Afrikasana Jamstore umuungishe mtoto wa prof D.Rutatora.Prof. Rutatora, Prof. MRS Mlozi, Prof. Mvena na Prof. Abood - mitambo ya SUA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Afrikasana Jamstore iko wapi na ana-deal na nini Mkuu? Maana Prof Rutatora wengi tulimkubali sana pamoja na mikwala yake eti mwisho wa mwaka anaenda kupumzika Acapulco Bay
Husiaribu majina ya wakubwa mkuu mbonile ni jina la kihaya maana yake nimeonaProf! Mboo-nile..... Hahaaaa umetisha sana
Prof muddy physics kutoka Massachusetts School of technology (MIT)
Sent using Jamii Forums mobile app
what is it? Prog MuddyProf muddy physics kutoka Massachusetts School of technology (MIT)
Sent using Jamii Forums mobile app
the fairest lecturer, wish you acquired your PhD and professorial endorsement
R.M. Besha, prof. Livin H. Mosha, school of Architecture and design - Ardhi university, sitokaa niwasahau.. kwa nondo zao wamenifanya niwe who I am today. Ninawashukuru sana. Walikua nondo hatariiii... besha akikufundisha history and theory of architecture, lazma uipende tu architecture,,,, studio ndo usiseme....
Hawa ndio wasomi wenu kutoka vyuo vikuu vyetu. Wamekalia kuandika upupu.
Hivi wasomi wa China nao wangekuwa na akili kama zenu ,corona si ingewamaliza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni noma huyo prof.he is my friend.my boss.Hiyo Afrikasana Jamstore iko wapi na ana-deal na nini Mkuu? Maana Prof Rutatora wengi tulimkubali sana pamoja na mikwala yake eti mwisho wa mwaka anaenda kupumzika Acapulco Bay
Sent using Jamii Forums mobile app
Prof. Pereka
Prof. Assey
Prof. Kassuku (RIP)
Prof. R.D Mosha
Prof. Ngomuo
Prof. Mgongo
Prof. Kimera
Mungu awabariki sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
wataje basi palio poa?Ha ha nimeshangaa kuwataja hao jamaa hao jamaa hawafai hata kidogo na Ossoro jr naye hakuna kitu anachofundisha hakieleweki kutishana tu kwa kifupi EC 116 na 126 hazina lecturer walio fair ila EC 117 na 127 wako poa sana