mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,862
- 3,574
Huyo mzee 'entity' alikuwa anaitamka "entetee" sema alikuwa poa sana kwenye Philosophy of education.Maganga udsm mzee wa EF100
asee akikurushia pen unakuja mbele kujibu maswali... Namkumbuka kwa vituko vyake...alifariki mwaka jana nadhani... Mwingine ni Dr manoko botany hiyo udsm hizo scientific names mapka Kichwa kinauma
Mungu ampe pumzika la amani Inshallah.
Sent using Jamii Forums mobile app