Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Maganga udsm mzee wa EF100
asee akikurushia pen unakuja mbele kujibu maswali... Namkumbuka kwa vituko vyake...alifariki mwaka jana nadhani... Mwingine ni Dr manoko botany hiyo udsm hizo scientific names mapka Kichwa kinauma
Huyo mzee 'entity' alikuwa anaitamka "entetee" sema alikuwa poa sana kwenye Philosophy of education.
Mungu ampe pumzika la amani Inshallah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenzio alimaanisha prof. Ngware. Rugumamu mzee wa next week I will be in USA playing golf with my friends. Hapo kanipiga na plain ya DS Pumbavu sana walimu wa Udsm
Kumbe Prof. Rugumamu ndio maana ni best wa Prof. Ngware, naye alikuwa na misemo hiyo hiyo kuwa ukiona gari langu Manzese piga simu polisi[emoji16]

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningemtaja mwanzo wa uzi huoni angewafunika wengine wote? Nitawataja baadae usijari!
Usijari = Usijali?
Usimtaje tena tumeshajua haujasoma😀😀 utakopi waliotajwa na wengine
 
1.Dr Cajetan Maganga wa EF100 (R.I.P).... noma sana
2. Koda
3. Nichorous Asheri
 
This prof thing, is it real professor! Or just nomenclature
 
R.M. Besha, prof. Livin H. Mosha, school of Architecture and design - Ardhi university, sitokaa niwasahau.. kwa nondo zao wamenifanya niwe who I am today. Ninawashukuru sana. Walikua nondo hatariiii... besha akikufundisha history and theory of architecture, lazma uipende tu architecture,,,, studio ndo usiseme....

Besha kiboko aisee, smart Guy yule hatari sana, moja ya walimu waliopo pale na wako vizuri
 
Mm nilikuwa mtumiaji wa Nondo levels ya PHD, ila nilikuwa nasoma somo moja tu ambalo nitalikuta mtaani.
 
Ha ha nimeshangaa kuwataja hao jamaa hao jamaa hawafai hata kidogo na Ossoro jr naye hakuna kitu anachofundisha hakieleweki kutishana tu kwa kifupi EC 116 na 126 hazina lecturer walio fair ila EC 117 na 127 wako poa sana
wataje basi palio poa?
 
Back
Top Bottom