mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
We mshamba me nakwambia huna akili hata.Mshamba tena mshamba wa kutupwa.Yani wasomi kama wewe ni shida sana.Mimi na degree ya UDOM na kuna UDSM nawafahamu wanasoma pale hata ufaulu wa wengi wa UDOM wamewazidi,hivi vyuo si vipo vingi ukisema wote tuchague UDSM nafasi zipo za kutosha???? Nijibu wewe mpuuzi.Wanafunzi wa UDOM wote wanatamani wangesoma UDSM. Degree ya UDOM inapaswa ilinganishwe na zoom college
Polee, inaonesha ulikua doja sana kwenye hilo somo😀enh bwana
Prof. Mlengela hakukufundisha???
Yule mzee hadi sasa sielewi elewi nilivukaje somo lake..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio alianzia Nishati na madini akahamishiwa Elimu, Anajua Chemistry Sana, nilimpenda kwenye Tutorial jamaa Alikuwa anakamata Chaki anashuka moja kwa mojaMdoe yuko Wizarani siku hizi, naye kaulamba.
Huyu mama wa kizambia hapana kabisa, japo ni mwalimu mzuri sanaDr. Mkai alikuwa very simple and straight forward.
Ukifeli somo lake wewe kilaza.
Umemsahau Madam Mkenda. Yupo mama yupo organized AF.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee mbona inaonekana umepita vyuo vya kinyonge sana?ha ha ha,teku na udom.Prof Tulli Kassimoto (teku)
Dr. Mlaki (udom)
Dr. Bilinga(udom)
Dr. Lema(open)
Dr. John P.A Msindai(teku)
Dr. Mwaigeni(teku)
Dr. Orestus Kapinga(mkwawa)
Mungu awape maisha marefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namkubali sana sana huyu jamaa, Nakumbuka sana yale mafundisho yake ya ku behave kazini, interview dah! Hapa ndipo namkumbuka kila nikienda kwa interview,Maisha baada ya shule nakumbuka.Dr Gerlad Shija UDOM huyo ni balaa,anakufundisha hadi maisha ya Ku behave kazini,somo lake ukiingia hutamani kipindi amalize.Mitihanani yake ya kutumia akili sana.Shikamoo Shija popote ulipo.CNMS UDOM 2018.
Mwamba ni mtaalamuu acha tu,anafundisha anaongeza na vistori daahh afu kidogo quiz hahahah hapo hacheki tena.Shijaa Mkuu namkumbuka sana yanii.Namkubali sana sana huyu jamaa, Nakumbuka sana yale mafundisho yake ya ku behave kazini, interview dah! Hapa ndipo namkumbuka kila nikienda kwa interview,Maisha baada ya shule nakumbuka.
CNMS 2017
Hapo Kuna degree za chupi nyingi Sana performance makaxini zero, Kuna kijana aliajiriwa Kama mwanasheria wakampuni akaambiwa atengeneze employment contract akashindwaWanafunzi wa UDOM wote wanatamani wangesoma UDSM. Degree ya UDOM inapaswa ilinganishwe na zoom college
Unabishana na kichaa, hiyo comment yake ya mwisho ukupaswa kumjibu ni tope tu! etii udom ni sawa na zoom college " huyu nia yake akugeuze nawe huwe kichaa mweziee mbishane for nonsense.We mshamba me nakwambia huna akili hata.Mshamba tena mshamba wa kutupwa.Yani wasomi kama wewe ni shida sana.Mimi na degree ya UDOM na kuna UDSM nawafahamu wanasoma pale hata ufaulu wa wengi wa UDOM wamewazidi,hivi vyuo si vipo vingi ukisema wote tuchague UDSM nafasi zipo za kutosha???? Nijibu wewe mpuuzi.
Mpuuzi sana huyo dogoUnabishana na kichaa, hiyo comment yake ya mwisho ukupaswa kumjibu ni tope tu! etii udom ni sawa na zoom college " huyu nia yake akugeuze nawe huwe kichaa mweziee mbishane for nonsense.
Povu la graduate wa chuo cha kata kutalijua tu.We mshamba me nakwambia huna akili hata.Mshamba tena mshamba wa kutupwa.Yani wasomi kama wewe ni shida sana.Mimi na degree ya UDOM na kuna UDSM nawafahamu wanasoma pale hata ufaulu wa wengi wa UDOM wamewazidi,hivi vyuo si vipo vingi ukisema wote tuchague UDSM nafasi zipo za kutosha???? Nijibu wewe mpuuzi.