Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Unabishana na kichaa, hiyo comment yake ya mwisho ukupaswa kumjibu ni tope tu! etii udom ni sawa na zoom college " huyu nia yake akugeuze nawe huwe kichaa mweziee mbishane for nonsense.
Nasikia hapo kwenu UDOM degree za chupi zipo kibao maana wengi ni vilaza
 
Anzhisheni uzi mwingine wa kubishania vyuo!
 
Nakusamehe wewe ni mjinga popote apo ulipo jisemee.Unaonekana kijana mwenye kupenda sifa sifa na kujifanya mjuaji ilhali hujui chochote.Ngoja niishie hapa.
 
Nasikia hapo kwenu UDOM degree za chupi zipo kibao maana wengi ni vilaza
Kilaza wewe,sisi tuna degree za kupambana darasani sio za unavyojua wewe na upumbavu wako kichwani.We we una akili za kitoto sana.Kweli JF imevamiwa na vitoto siku hzizi kama wadau wengine wanavyosemaga.
 
1. The late Dr. A.S Chungu mzee wa my baby Mlimani City
2. Prof. Beatus.A.T Kundi pale Coet
3. Kaka mkuu Dr. Elias mzee wa Drawing
4.Dr. Mohamed Juma mzee wa nyanga za Project Management

Wengine ambao sitawasahau tu iwe kwa ugumu wa course zao au ucomplicator wao ni
1. Dr. Victoria Mahabi
2. Dr. P.B. Msemwa
3. Prof. Bavo Nyichomba.
4. Prof. Emmanuel Mjema
5. Prof. Bakari Mwinyiwiwa.
6. Dr. Isaac Legonda
 
Procurement and store keeping Lecture MASOUD at CBE dar es salaam campus. You're the best lecture zile purchasing procedures and documents, receiving procedures and documents, delivering procedures and documents ulizonifundisha ndio zinanipa ugali sahivi kama bado upo ujue wewe ni bora kwa watu wengi akiwepo mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Emmanuel Mjema nadhan ni Rector wa CBE DSM kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…