My bad mkuu.Sio COET ni CoET!
Professor Kopoka UDSM mzee wa DS na notice...mnaandika notice mpaka mkione wakati huo alikuwa Dr....why Europe underdeveloped Africa.
Mihanjo udsm mzee wa philosophy mzee wa ufilipino mzee wa kodrai
Maisha ya chuo kuna namna ukiyakumbuka yanafurahisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuja kupewa mwishoni huku. Kafariki akiwa na hiyo title tayari.Sio kwamba alibaniwa!
Huyo mwamba hatari sana!Nilipenda sana somo lake SD100!Alikuja kupewa mwishoni huku. Kafariki akiwa na hiyo title tayari. View attachment 1409116
Unamkumbuka na mwamba mmoja alikuwa akiitwa Dr.A.S Chungu mzee wa story ?Huyo mwamba hatari sana!Nilipenda sana somo lake SD100!
Grafuate wa UDOM mna shida gani. Najua unatamani ungesoma UDSM bahati mbaya hawachukui wenye threeNakusamehe wewe ni mjinga popote apo ulipo jisemee.Unaonekana kijana mwenye kupenda sifa sifa na kujifanya mjuaji ilhali hujui chochote.Ngoja niishie hapa.
Hahahahaah we jamaa mpuuzi sana na mshamba tu,unajua mimi na division ngapi??? Acha kujitia mjuaji kijana maisha hayaendi hvyo ujuaji wako wa kishamba sana mpuuzi wewe.Grafuate wa UDOM mna shida gani. Najua unatamani ungesoma UDSM bahati mbaya hawachukui wenye three
Kumjibu huyu Mpumbavu ni sawa na kuhalalisha nawewe upo Kama yeye Mkuu...achana nae tuHahahahaah we jamaa mpuuzi sana na mshamba tu,unajua mimi na division ngapi??? Acha kujitia mjuaji kijana maisha hayaendi hvyo ujuaji wako wa kishamba sana mpuuzi wewe.Heshimu taaluma za watu asee.Au kijana wa Ufipa nini wewe???? Maana Huku kwetu CCM hatunaga watu kama aina yako
Kwa kweli ngoja tumuache aendelee na upuuzi wakeeKumjibu huyu Mpumbavu ni sawa na kuhalalisha nawewe upo Kama yeye Mkuu...achana nae tu
Typed Using KIDOLE
Wenye division one wanaenda mlimani.... nyie mlo wa three ndo mnaenda UDOM... mwenyekiti wenu mwenyewe wa chama aliwaita vilaza.... ungekomaa ukapata one ili uje mlimani saiz ushachelewa kubali matokeo tu kwamba umesoma chuo cha kataHahahahaah we jamaa mpuuzi sana na mshamba tu,unajua mimi na division ngapi??? Acha kujitia mjuaji kijana maisha hayaendi hvyo ujuaji wako wa kishamba sana mpuuzi wewe.Heshimu taaluma za watu asee.Au kijana wa Ufipa nini wewe???? Maana Huku kwetu CCM hatunaga watu kama aina yako
Mkenda alikuwa Macro and International Economics.Yes mkenda alikuwa international economics au monetary economics???
Those two course were good for me sio upuuzi wa econometric au intermidiate micro economics.
Mambo ya lagrange theory sijui nimepatia
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka umemaliza pale Mechanical Engineering. Ulimaliza mwaka gani huwenda tukawa tumemaliza mwaka mmoja.Amefariki akiwa ni Prof.
2016.Bila shaka umemaliza pale Mechanical Engineering. Ulimaliza mwaka gani huwenda tukawa tumemaliza mwaka mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu acheni malumbano yasiyo na msingi! Hizo div one sio kila mara zina'reflect' uhalisia! Kuna watu wanasoma kwa shida sana kiasi kwamba yule mwenye one ya 3 subjected to similar circumstances anaweza asipate ata hiyo ya div 3! Hivyo msiwa 'ridicule' waliopata div 3, maana huwezi jua maswahibu waliokutana nayo!Povu la graduate wa chuo cha kata kutalijua tu.
UDOM ni chuo wanachoenda wale walikosoa nafasi UDSM na Muhimbili. Ndio maana kinaitwa chuo cha vilaza. Wale wenye three na two za mwisho mwisho ndo wanaenda huko. Division one clean zinaishia mlimani chuo bora Africa
Hii kauli imekuwa ikijirudia rudia kwa maprof pale udsm. Kuna mmoja alitaja hii akaongezea na elimu UA mkewe kuwa ni PhD holder yeye ni prof akatupa home kugundua kitanda wanacholalia kitakuwa na degree ngapi hahaaaaProf Lugumamu mzee wa misifa anasema ukiliona garo lake limepako manzese poga simu polisi limeibiwa au limetekwa maana yeye hans Cha kufuaya manzese
Sent using Jamii Forums mobile app
Professor Victor Mlekwa na Marehemu Dr Mtanyata.
Wa kwanza yeye akiingia kufundisha ni kucheka tu mwanzo mwisho anafurahi tu, sasa Dr. Mtanyata yeye ni matusi tu ya nguoni, yeye anaweza kufundisha kama Mara kumi tu semester nzima.
Professor Galabawa, dah Mbaya alikua na nyodo sijapata kuona, kwenye Masters akanipa B+ bahati nzuri External Examiner akanipa A.
Professor Yohana Msanjila yeye ni mzee wa busara tu, alikua Katibu wa CCT chaplaincy UDSM.
Dr. Leornad Chamuriho, kwa kweli alikua kama mzazi, hakua na nyodo, ndio Permanent Secretary sijui wa Wizara gani huko.
Professor Mbunda, babu anachomekea utadhani anachomekea na Mwiko, nadhani yale mashati alikua anachomeka kwanza kwenye pensi ndani, kyupi, suruali then mkanda.