Hawa niliwalubali:Ossoro na karamagi hahaha hao hapana.
Mateso waliyotupa ni makubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr. Richard Kasungu
Marehemu Dr. Jumanne Wagao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa niliwalubali:Ossoro na karamagi hahaha hao hapana.
Mateso waliyotupa ni makubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Taja nawe wako hata kama uliishiia chekechea MkuuJamani, ni hulka ya wanadamu kutotangaza mema ya watu lakini wepesi sana kutangaza mabaya ya watu.
Hivi karibuni kuna madaktari kadhaa walitangazwa na wanafunzi wao kwa ubaya sana! Sijui kama tuhuma walizotangazwa kwazo zilikuwa na ukweli au la!
Huu uzi naomba tufanye kinyume, tuwaseme wakufunzi wetu wa vyuo vikuu kwa majina yao kwa namna walivyo 'committed', 'fair' na mahiri katika kutoa mashule na hata walivyo fair katika kutoa na ku'mark' mitihani yenu!
Kama hukujariwa kufika chuo kikuu ww muweke mwalimu aliyekufurahisha kwa umahiri wake wa kufundisha ktk kiwango cha juu kabisa cha cha elimu ulichofikia!
Tafadhari bandugu, muelezee kidogo kivipi alikufurahisha ili kama atajua basi atiwe moyo na hayo afanyayo! Kumbuka tukitaka kuwananga huwa walimu wetu kwa ubaya huwa hatuishii kutaja majina tu bali tunaelezea kwa kirefu hata kujaza gazeti. Leo eleza hata kwa mstari mmoja tu kumjurisha alivyougusa moyo wako!
Niishie hapo
Mate zangu hawaUDSM
Prof. mshandete, Dr lyimo (now Prof.), Prof.Masenge
Microbiology/MBBUDSM
Prof. mshandete, Dr lyimo (now Prof.), Prof.Masenge
Lyimo wa MC na Masenge wa MT
Masenge huwa ni wa CDM.....au alishaunga juhudi?Huyu Masenge aliwahi kugombea ubunge, alichofanywa na wajumbe ukimkumbusha ni carry over hiyo hata kama ni mtaani[emoji23][emoji23]
Masenge huwa ni wa CDM.....au alishaunga juhudi?
Bado yupo UDSM?Hajastaafu???Ilikuwa mwanajuhudi enzi hizo baada ya kutoka ujeruman na degree zake, akaenda kijijini kwao wajumbe wakamfurumusha, hivi sasa hapendi kabisa kusikia siasa wala kukumbushiwa hayo makitu!
A similar comment was used by Prof. Mulokozi, Department of Chemistry (UDSM) in 1978. " If my mother from Bukoba gave the same answers as you did, I would have given her the same zero marks". The guy in question changed his studies from Science to Arts the same very day!Late Prof.Ladislaus Lwambuka-CoET enzi hizo
Msemo wake wa siku zote "Even my mother in Bukoba will be able to identify the angle"
Sent using Jamii Forums mobile app
UDSM Nilpata A zote na B+ chache. Ni Osoro tu ndie aliyenipa Plain B kwenye EC311.Ossoro na karamagi hahaha hao hapana.
Mateso waliyotupa ni makubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Prof Ole meiludie na prof aku okting'atiDr Churi pale SUA alikua Infomat/Comp center
Osoro baba au mtotoUDSM Nilpata A zote na B+ chache. Ni Osoro tu ndie aliyenipa Plain B kwenye EC311.
Mzee wa kuingia na vibonzo (Cartoons) au sio
Mvungi yupo kwenye moyo wangu Kila nkikumbuka maisha ya chuo......alintetea kwenye point moja muhimu....naweza kusema bila yeye nsingefika apa nlipo(God is exclusive)Proff Juan Mwaikusa, Dr Mvungi mlinifunza mambo ya msingi sana, kitu kimoja cha msingi mlinifunza petience, Mungu awarehemu, sijamsahau Mwl Simwaba na Mtefu waalimu wangu wa sekondari mkae pema.
Sorry na Mwalimu Maufi wa shule ya msingi sijakusahau ukae pema peponi.
Sorry mleta mada umelenga wahadhiri but wengine we are so touched na waalimu waliotujengea misingi kabla ya kufika vyuo see you in the next life.