Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,628
- 3,535
Unaweza jipa likizo ya 10yrs lakini donda lisipone suruhisho tafuta spare tyre tu
kweli aiseee,hilo la spare tyre umeling'ang'ania kuliko mbingu......:decision::hand:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza jipa likizo ya 10yrs lakini donda lisipone suruhisho tafuta spare tyre tu
wamekuelewa LD,wanajaribu kukusaidia......coz in real life its hard!!! they want you to move on and bury the past....you have learnt your lessons!!
Sio kama hawakuelewi Mshiki, ni kwamba kupenda hakuna time frame!! utakua unajidanganya tu!!
Hapo ndipo unapojidanganya
hapo ndipo unatudanganya.
Nani alikudanganya kupenda unaweza kujiwekea time frame? kwamba mi ntampenda mwanaume mwaka 2014? Over My dead Body.....Unacheza na nature wewe!
Hebu nenda kawadanganye wale jirani zako pale Tegeta Primary School..
Ahaaa...sasa ndio nakielewa kilio cha LD....anatamani mme wa mtu!
Sasa kama kashaoa what the hell is happening here?! Thread looooote hili la nini? Huyu jamaa kama yuko JF atatamba sana asee.
I hereby declare Thread CLOSED!
Sijazema likizo ya kupenda, naweza ikakupenda lakini nisikupe nafasi moyoni mwangu!!
Nafasi yoyote ile, hata hiyo bailogia usiiione. But nakupenda kama kaka, mpenzi asiyekuwa na adminstrative rights.
Lakini baada ya miaka mitano ya likizo nakufanya wewe kuwa na hizo, au kama sio wewe mwingine vilevile.
kweli aiseee,hilo la spare tyre umeling'ang'ania kuliko mbingu......:decision::hand:
LD sikufahamu physically but I salute you and respect you kwa kuwa hata na uwezo wa kutambua kuwa ulikosea na ukaamua kuretreave back na ku-rethink kabla ya kurukia uhusiano mwingine kama wafanyavyo wengi wetu. Kwa hilo mydia BIG UP.
Kwa muda uliojipangia nakusapport iwapo umri wako unaruhusu (pengine wakati unatendwa ulikuwa 15 na sasa ni miaka miwili after that so you are 17 so by the time unamalizia hiyo mitatu iliyobaki utakuwa 20....... kama ni hivi I still suggest UONGEZE mingine kama miwili au mitatu hivi ili ukianza tena huu mchezo uwe angalau umeanza kukomaa.
But kama ndo umeshakula chumvi mifuko inakimbilia 27 huko mh sikushauri kabisa ..... hiyo miwili inatosha kabisa kukusahaulisha na kukufanya uruhusu maisha yasonge mbele........wewe ni mwanamke unayestahili kupendwa na kufaid maisha ya mapenzi.... itumie vema nafasi hii kabla muda haujaisha. Cha muhimu omba MUNGU akupe mwenzi mwema na ujifinzage kupenda kwa akili mdogo wangu usipende kwa moyo, moyo ni nyama tu bana sometimes unakuwaga na moods zake so unawezakuamua kukupotosha just to kukukomoa kwa kuwa umeunyima damu ya kutosha.......(Hivi Distilaries huwa wanaendaga likizo??...... ni lini ili nijiandae kuweka stock ya kutosha am addicted!)
hahaha!odm unamuonea ld sasa!mbona cjaona kama anamtamani,hata hv ukiwa kama babu wa ld mpe mjukuu wako mtu wa kumponya moyo aachane na likizo yake hiyo
Tulia my dear,sasa naona hujielewi....huwezi mpenda mtu usimpe nafasi moyoni,anakuwa moyoni tayari sema tu wewe ndo unaamua aendelee kubaki na upendo ushamiri au lah.......utadanganywa tu hapo kwenye yeye akusubiri mitano ndo apewe rights.....yaani mwanaume aje na nia ya kukuoa kikweli sasa hivi umwambie after five years na umempenda,huoni kwamba unaadhibu watu wasiostahili na kujiumiza mwenyewe??? em toa hizo sanctions my dear....nimegundua zinakuumiza wewe zaidi.....you need to receive and give love....not sex....:wink2:
When life gives you lemons, break out the tequila and salt!:rain:
Nafukuzia tender hiyo LD lazima afrahi maishani mwake kama binadamu na si kununa kwa 3yrs
Umesahau, kuvuja kwa pakacha nafuuu kwa............................
yule kaka yako vipi?:A S 13:
Mjukuu bora wewe uweke busara zako may be Elodii atakusiki..!!LD sikufahamu physically but I salute you and respect you kwa kuwa hata na uwezo wa kutambua kuwa ulikosea na ukaamua kuretreave back na ku-rethink kabla ya kurukia uhusiano mwingine kama wafanyavyo wengi wetu. Kwa hilo mydia BIG UP.
Kwa muda uliojipangia nakusapport iwapo umri wako unaruhusu (pengine wakati unatendwa ulikuwa 15 na sasa ni miaka miwili after that so you are 17 so by the time unamalizia hiyo mitatu iliyobaki utakuwa 20....... kama ni hivi I still suggest UONGEZE mingine kama miwili au mitatu hivi ili ukianza tena huu mchezo uwe angalau umeanza kukomaa.
But kama ndo umeshakula chumvi mifuko inakimbilia 27 huko mh sikushauri kabisa ..... hiyo miwili inatosha kabisa kukusahaulisha na kukufanya uruhusu maisha yasonge mbele........wewe ni mwanamke unayestahili kupendwa na kufaid maisha ya mapenzi.... itumie vema nafasi hii kabla muda haujaisha. Cha muhimu omba MUNGU akupe mwenzi mwema na ujifinzage kupenda kwa akili mdogo wangu usipende kwa moyo, moyo ni nyama tu bana sometimes unakuwaga na moods zake so unawezakuamua kukupotosha just to kukukomoa kwa kuwa umeunyima damu ya kutosha.......(Hivi Distilaries huwa wanaendaga likizo??...... ni lini ili nijiandae kuweka stock ya kutosha am addicted!)
Mamii Michelle.. Kuwa makini na huyo anayejificha hapo juu, anajua aliyoyatenda!