Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzenu nilivunjwa moyo miaka miwili iliyopita, Tangu moyo ulivyovunjika nimekuwa nikimuomba Mungu aniponye na nina Imani ameniponya kabisa, manake najiona sina kinyongo, wala uchungu na huyo heart breaker, na ninachomshukuru Mungu zaidi nina furaha na Amani, na maisha yanaendelea vizuri.
Pamoja na hivo ninamshukuru Mungu kwa sababu amenisamehe dhambi niliyokuwa nimeitenda, kwa sababu nilijidai ninampenda sana huyo mtu kuliko hata Mungu, nikampa vyote, nafsi, roho na mwili. Wakati mwingine hata muda wa kwenda kuabudu ulipungua kwa kumpa huyo heart breaker muda mwingi zaidi.
Baada ya tukio hilo,niliamua kujipa likizo ya kumpenda mwanaume, yani nikaziba madirisha yote ya kumkaribisha mwanaume moyoni mwangu.
Siwachukii lakini nimejipa likizo kwa muda wa miaka mitano hivi, na sasa huu ni mwaka wa pili, ina maana bado miaka mitatu.
Je uamuzi wangu wa kujipa likizo ni sahihi?
Najiona ninaweza kuendelea na likizo hadi miaka mitatu iliyobakia iishe, je ni kweli au
naidanganya nafsi yangu.
Angalizo Marufuku kunitania Broken Heart!! Umesikia GY, Asprin, TF, Askofu na Teamo T, bila kumsahau Bigirita. Mjukuu mtiifu umesikia!! na wewe St. RR.
hata mimi ilishawahi ntokea nikajipa likizo ya mwaka kutotaka kumsikiliza mwanaume.Hiyo yako ni ndefu mno maisha mafupi ya nini ujikoseshe raha?
nadhani hiyo miwili imetosha sasa anza kusikiliza kidogokidogo.
ANGALIZO:usimkaribie mtu asiye na hofu ya mungu, kuna wakaka kibao wanakwaya/wainjilisti makanisani kama vipi anza kujifua kuima nadhani hili halitamchukiza MUNGU manake unamtaka kondoo wake kwa nia safi.

Sijawahi kuvunjwa moyo. Bado sijajua machungu yake ila nahisi mnavyojisikia. Pole sana LD. Hujafanya vibaya kujipa likizo.
Ni wakati ambao inabidi uangalie ulipokosea ili usifanye tena mistakes.
Quote from one of my friends (Ke)
" Nilisema sitampenda mwanaume maishani mwangu, hivi imekuwaje nikakupenda hivi tena sana"
My take:
Mwombe Mungu akuonyeshe ubavu wako. You will love more than you did with your heeart breaker.
Dah, ubarikiwe sanaaaaaa!!!
Kwa kweli nashukuru, nimekuwa LD, Na nitakuja kuwaambia matokeo ya uponyaji wangu.
Mungu anisaidie tu, nisiangukie tena mikononi mwa wanyanganyi!!!!
Ubarikiwe sana Babu yangu!!!
Amen,
...ila kumbuka ule msemo, "kosa si kosa, kosa ni kulirudia kosa!"
which means, ukirudia kosa utaonekana hukujifunza.
Katika hiyo miaka miwili, lazima umejifunza yaliyokuwa mapungufu yako,
na sasa ('in football terms') una defence, kiungo, na mashambulizi bora zaidi.
"In love-life there will be people who may hurt you. So, continue trusting but be careful"
Nadhani PM yake ishakua over loaded saa hizi..lol
Mwenzenu nilivunjwa moyo miaka miwili iliyopita, Tangu moyo ulivyovunjika nimekuwa nikimuomba Mungu aniponye na nina Imani ameniponya kabisa, manake najiona sina kinyongo, wala uchungu na huyo heart breaker, na ninachomshukuru Mungu zaidi nina furaha na Amani, na maisha yanaendelea vizuri.
Pamoja na hivo ninamshukuru Mungu kwa sababu amenisamehe dhambi niliyokuwa nimeitenda, kwa sababu nilijidai ninampenda sana huyo mtu kuliko hata Mungu, nikampa vyote, nafsi, roho na mwili. Wakati mwingine hata muda wa kwenda kuabudu ulipungua kwa kumpa huyo heart breaker muda mwingi zaidi.
Baada ya tukio hilo,niliamua kujipa likizo ya kumpenda mwanaume, yani nikaziba madirisha yote ya kumkaribisha mwanaume moyoni mwangu.
Siwachukii lakini nimejipa likizo kwa muda wa miaka mitano hivi, na sasa huu ni mwaka wa pili, ina maana bado miaka mitatu.
Je uamuzi wangu wa kujipa likizo ni sahihi?
Najiona ninaweza kuendelea na likizo hadi miaka mitatu iliyobakia iishe, je ni kweli au
naidanganya nafsi yangu.
Angalizo Marufuku kunitania Broken Heart!! Umesikia GY, Asprin, TF, Askofu na Teamo T, bila kumsahau Bigirita. Mjukuu mtiifu umesikia!! na wewe St. RR.
Thanks very much Nailyne, I believe God can not let me to this far to leave me!!! He has good plans and thoughts in my life. Yes I learn a lot through this situation and thanks God, I can say something about the world's love and relationship.
hata mimi ilishawahi ntokea nikajipa likizo ya mwaka kutotaka kumsikiliza mwanaume.Hiyo yako ni ndefu mno maisha mafupi ya nini ujikoseshe raha?
nadhani hiyo miwili imetosha sasa anza kusikiliza kidogokidogo.
ANGALIZO:usimkaribie mtu asiye na hofu ya mungu, kuna wakaka kibao wanakwaya/wainjilisti makanisani kama vipi anza kujifua kuima nadhani hili halitamchukiza MUNGU manake unamtaka kondoo wake kwa nia safi.
Ni uamuzi mzuri, lakini miaka 5 ikiisha na wao wakaka hawatakuwa likizo? Usije ukakosa moja kwa moja
pls kimey weka hizo koment zitasaidia.
(wa kuwakwepa ni kwaya masta na wapiga vinanda manake hawa ni ....)
Say something nataka kuongeza.......ooppss lakini LD atakuwa ameishaacha kuwaza na amepata solution ngoja nimsubirie nioneGood Luck LD nimekosa neno la kuongezea hapa