Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Bila shaka awali ilionekana chama hiki ni kama chama cha siasa sawa na vyama vingine, Lakini kadiri muda unavyosonga kinaanza kudhihirisha sababu za uwepo wake
Nadhani madhumuni, misingi na malengo ya kuanzishwa kwake yameimarishwa au kuboreshwa zaidi hivi sasa na huenda kinyemela...
Infact, inahitajika mtulivu na umakini wa kiwango cha juu sana kubaini ikiwa hii taasisi au ni chama cha ushirika, asasi ya kiraia, chamber of commerce?
Hata waliokuwa wanachama wake hivi sasa hawafanyi siasa tena bali wamekuwa wanaharakati wanaotumia hisia na huruma kuvutia wengine kujiunga kwenye harakati ambazo pia ni vigumu kubaini wanadai au kupambania nini hasa...
Ni wakali mno, hawahitaji wala hawavumilii challenges kutoka kwa yeyote alie kunyume na maoni na mitazama yao. huyo ni adui kwao. Wanachohisi wao au wanchokiamini wao ndicho pekee wanachokiona cha maana na kwajivyo kila moja afuate hivyo. kinyume na hapo zitaibuka ghadhabu na mihemko iliyoamabatana na matusi mazitomazito au vitsho na laana amabazo kwakeweli havina maana yoyote, kwenye mesani na jukwaa hili huru na muhimu sana la kisiasa...
Kuna kiongozi muandamizi wa asasi au ushirika huu majuzi alidai kwamba chama hicho sio dini, wala mama yake mzazi. na kwahivyo anaweza kuihama asasasi au ushirika huo ikiwa utafanya mambo kinyume na misingi ya kuanzishwa kwake.
Sasa, je hiyo misingi ni ipi mpaka huyo muungwana kuwa na wasiwasi hivyo na kwamba inakiukwa? au nduto haya yanayotokea sasa?
muungwana huyo atavumilia kweli kubaki kwenye asasi au ushirika huo?
Sasa je, CHADEMA bado ni chama cha siasa kweli?🐒
Mungu Ibariki Tanzania