Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Mwalimu Nyerere, alipotamka enzi zile kuwa CCM siyo mama yake, Kwa hiyo anaweza kukihama chama hicho wakati wowote, ina maana kuwa CCM nayo ilikuwa kama chamber of commerce???😗Bila shaka awali ilionekana chama hiki ni kama chama cha siasa sawa na vyama vingine, Lakini kadiri muda unavyosonga kinaanza kudhihirisha sababu za uwepo wake
Nadhani madhumuni, misingi na malengo ya kuanzishwa kwake yameimarishwa au kuboreshwa zaidi hivi sasa na huenda kinyemela...
Infact, inahitajika mtulivu na umakini wa kiwango cha juu sana kubaini ikiwa hii taasisi au ni chama cha ushirika, asasi ya kiraia, chamber of commerce?
Hata waliokuwa wanachama wake hivi sasa hawafanyi siasa tena bali wamekuwa wanaharakati wanaotumia hisia na huruma kuvutia wengine kujiunga kwenye harakati ambazo pia ni vigumu kubaini wanadai au kupambania nini hasa...
Ni wakali mno, hawahitaji wala hawavumilii challenges kutoka kwa yeyote alie kunyume na maoni na mitazama yao. huyo ni adui kwao. Wanachohisi wao au wanchokiamini wao ndicho pekee wanachokiona cha maana na kwajivyo kila moja afuate hivyo. kinyume na hapo zitaibuka ghadhabu na mihemko iliyoamabatana na matusi mazitomazito au vitsho na laana amabazo kwakeweli havina maana yoyote, kwenye mesani na jukwaa hili huru na muhimu sana la kisiasa...
Kuna kiongozi muandamizi wa asasi au ushirika huu majuzi alidai kwamba chama hicho sio dini, wala mama yake mzazi. na kwahivyo anaweza kuihama asasasi au ushirika huo ikiwa utafanya mambo kinyume na misingi ya kuanzishwa kwake.
Sasa, je hiyo misingi ni ipi mpaka huyo muungwana kuwa na wasiwasi hivyo na kwamba inakiukwa? au nduto haya yanayotokea sasa?
muungwana huyo atavumilia kweli kubaki kwenye asasi au ushirika huo?
Sasa je, CHADEMA bado ni chama cha siasa kweli?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Kamuulize Faustine Mafwele! au Guberi mkuu jina lake Saa100.gentleman hili sio swala la kuridhika ama kutokuridhika,
ni swala nyeti la maana sana la kuongeza uelewa na ufahamu wa kutosha dhidi ya masuala haya muhimu sana kwa mustakabali wa demokrasia za vyama nchini 🐒
"CHADEMA which now" !!!😀😃chadema which now,
asasi ya kiraia, chama cha ushirika au chamber of commerce? 🐒
Kwakuwa macho yako yanapofuka kuiona sisiem bhasi endelea kuipekua CDM na kuivika jina la fikra zako.chadema which now,
asasi ya kiraia, chama cha ushirika au chamber of commerce? 🐒
kauli kama hiyo Ilitamkwa juzi pia na makamu mwenyekiti Lisu kwamba Chadema si mama yake anaweza kuondoka tu bila mbambamba ikiwa chadema itaacha misingi yake....Hivi Mwalimu Nyerere, alipotamka enzi zile kuwa CCM siyo mama yake, Kwa hiyo anaweza kukihama chama hicho wakati wowote, ina maana kuwa CCM nayo ilikuwa kama chamber of commerce???😗
kumbe unajua kutafsiri English kwa kiswahili vizuri hivyo gentleman 🤣"CHADEMA which now" !!!😀😃
Anamaanisha " CHADEMA ipi sasa" ! Kwa kiingereza hiki utekaji na mauaji ya kikatili hayawezi koma hapa Nchini!!
Nimekuuliza mbona Mwalimu Nyerere aliposema enzi zile kuwa CCM ikiacha misingi yake atakihama chama hiko, mbona hujasema kuwa CCM nayo ilikuwa chamber of commerce??😚kauli kama hiyo Ilitamkwa juzi pia na makamu mwenyekiti Lisu kwamba Chadema si mama yake anaweza kuondoka tu bila mbambamba ikiwa chadema itaacha misingi yake....
sasa ndio maana nauliza,
chadema kwa sasa ni asasi ya kiraia, chama cha ushirika au ni chamber of commerce?🐒
Hakuna neno lolote limeonesha hisia za mlipuko ni vile makada mnaishi kwa wasi wasi Kama ngiri.maoni yako ni gani sasa au ni makasiriko tu dhidi ya maoni ya wengine 🐒
kwahiyo mimi nimsemee Hayati Baba wa Taifa J. K Nyerere, right?🐒Nimekuuliza mbona Mwalimu Nyerere aliposema enzi zile kuwa CCM ikiacha misingi yake atakihama chama hiko, mbona hujasema kuwa CCM nayo ilikuwa chamber of commerce??😚
andikia uzi,Hakuna neno lolote limeonesha hisia za mlipuko ni vile makada mnaishi kwa wasi wasi Kama ngiri.
Kwani sisiem ni chama na kilisajiliwa lini ?
SACOS, umeridhika Braza Abduli ?andikia uzi,
hiyo mada ni ya maana sana...
kwasasa ni muhimu kujidhirisha ikiwa chadema ni asasi ya kiraia, chama cha ushirika au chamber of commerce 🐒
Mkuu umesoma na kuelewa? Je,CHADEMA ni chama cha Siasa?Duh
Unaelewa maana ya Siasa lakini?
Harakati ni Siasa na Dini ni Siasa pia
Usisahau hilo 😄😄😄