Pre GE2025 Hebu tujadili hili kidogo ndugu, hivi CHADEMA ni asasi ya kiraia au chamber of commerce?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe mbaba, una mke? Anapata muda wako kweli? Au ukidondosha mzigo ni full kuitaja Chadema, chadema?
umepanic binti wa kibantu?
I'm sorry plz...

hivi huwa mnatumia nini kuchafukwa na kua na mihemko isiyo na maana hivyo dhidi ya maoni na mitazamo ya wengine hali ya kua hamna fikra mbadala wala mawazo mapya dhidi ya hoja yenyewe mahususi?

kuna kitu mnatumia ee, sio bure right?πŸ’
 
Kama hoja yako imejikita kweny msingi wa cha chama(dhumuni la uwepo wake) ndo na mmi nika pata wazo la kuhoji kama pia msingi au dhumuni la uwepo wa chama cha kijani ndo haya yanayo endelea ivi sasa …… tuanzie hapo
 
Watu Kama Hawa wanapewa airtime Sana JF na nyuzi zao za kijinga, Sasa leta Nyuzi ya kuelelzea Usalama au Jambo la ajabu linaloendelea Uzi unafutwa au kula ban.
chochote kisicho zingatia maadili, vigezo na masharti ya kistaarabu humu jukwaani ni Lazima kifutwe...

nami nasema wafute tu maana hakuna namna nyingine sasa πŸ’
 
Kama hoja yako imejikita kweny msingi wa cha chama(dhumuni la uwepo wake) ndo na mmi nika pata wazo la kuhoji kama pia msingi au dhumuni la uwepo wa chama cha kijani ndo haya yanayo endelea ivi sasa …… tuanzie hapo
ndio maana nikashauri ujue na uzi mahususi kwasababu ni jambo muhimu na zito mno kwa maslahi ya demokrasia na taifa kwa ujumla...

kwanza tupate uelewa na maoni ya wadau kwenye hoja mahususi mezani kwanza πŸ’
 
In short hatujastaarabika kifikia kiwango cha kufanya siasa za vyama vingi, siyo CCM wala upinzani.
 
Kikombe wanachokinywea chadema kwa sasa, wakipewa CCM nao watabehave hivyo hivyo na penfine hata zaidi. Jamii ni ileile.
 
Kikombe wanachokinywea chadema kwa sasa, wakipewa CCM nao watabehave hivyo hivyo na penfine hata zaidi. Jamii ni ileile.
this is what we call critical thinking πŸ‘ŠπŸ’ͺ
 
Both are correct depending on your stupidity
 
Nini maana ya harakati! Toa tofauti kati ya harakati na siasa! kabla hujaja hapa
Fanya pia homework ya kutofautisha dola na CCM na kwanini watekaji ni polisi wanaovaa kijani na wakati mwingine kijani wanavaa mavazi ya FFU! na zile bunduki na pingu ni za kijani au za polisi? Tuliza muwasho wa masaburi kwanza!
 
twende tu pole pole bila mihemko gentleman..

jikite tu kwenye mada hayo mengineyo binafsi tutajadili wakati mwingine, sawaeee

chadema ni asasi ya kiraia, chama cha ushirika au ni chamber of commerce? kwa maoni yako gentleman πŸ’
 
Ni chama cha watekaji! umeridhika sasa?
 
Ni chama cha watekaji! umeridhika sasa?
gentleman hili sio swala la kuridhika ama kutokuridhika,

ni swala nyeti la maana sana la kuongeza uelewa na ufahamu wa kutosha dhidi ya masuala haya muhimu sana kwa mustakabali wa demokrasia za vyama nchini πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…