Pre GE2025 Hebu tujadili hili kidogo ndugu, hivi CHADEMA ni asasi ya kiraia au chamber of commerce?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi Mwalimu Nyerere, alipotamka enzi zile kuwa CCM siyo mama yake, Kwa hiyo anaweza kukihama chama hicho wakati wowote, ina maana kuwa CCM nayo ilikuwa kama chamber of commerce???πŸ˜—
 
Hivi Mwalimu Nyerere, alipotamka enzi zile kuwa CCM siyo mama yake, Kwa hiyo anaweza kukihama chama hicho wakati wowote, ina maana kuwa CCM nayo ilikuwa kama chamber of commerce???πŸ˜—
kauli kama hiyo Ilitamkwa juzi pia na makamu mwenyekiti Lisu kwamba Chadema si mama yake anaweza kuondoka tu bila mbambamba ikiwa chadema itaacha misingi yake....

sasa ndio maana nauliza,
chadema kwa sasa ni asasi ya kiraia, chama cha ushirika au ni chamber of commerce?πŸ’
 
"CHADEMA which now" !!!πŸ˜€πŸ˜ƒ
Anamaanisha " CHADEMA ipi sasa" ! Kwa kiingereza hiki utekaji na mauaji ya kikatili hayawezi koma hapa Nchini!!
kumbe unajua kutafsiri English kwa kiswahili vizuri hivyo gentleman 🀣

umenifurahisha sana gentleman, that is great, keep it up πŸ’ͺπŸ‘Š
 
Nimekuuliza mbona Mwalimu Nyerere aliposema enzi zile kuwa CCM ikiacha misingi yake atakihama chama hiko, mbona hujasema kuwa CCM nayo ilikuwa chamber of commerce??😚
 
Nimekuuliza mbona Mwalimu Nyerere aliposema enzi zile kuwa CCM ikiacha misingi yake atakihama chama hiko, mbona hujasema kuwa CCM nayo ilikuwa chamber of commerce??😚
kwahiyo mimi nimsemee Hayati Baba wa Taifa J. K Nyerere, right?πŸ’
 
Hakuna neno lolote limeonesha hisia za mlipuko ni vile makada mnaishi kwa wasi wasi Kama ngiri.
Kwani sisiem ni chama na kilisajiliwa lini ?
andikia uzi,
hiyo mada ni ya maana sana...

kwasasa ni muhimu kujidhirisha ikiwa chadema ni asasi ya kiraia, chama cha ushirika au chamber of commerce πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…