Hebu tujikumbushe kidogo elimu ya mgombea urais wa CCM

Kwa mfano mtu akipata 1 Olevel au Two halafu Six akapiga 4 au zero una m-define vipi huyu mtu.
 
Mara ya mwisho kufuatilia siasa,katiba ilisema rais lazima awe na degree au equivalent
 
Nani anaiba na onyesha huo wizi
Nilikwambia,

Hujui kuandika bilioni moja kwa tarakimu,

Usiwe unatupigia kelele humu,

Form four failule hajawahi kupata UWEZO kuandika bilioni moja kwa tarakimu,

Kama unabisha, andika.
 
Kwa mfano mtu akipata 1 Olevel au Two halafu Six akapiga 4 au zero una m-define vipi huyu mtu.
Huyo ni kichwa kilichoenda kupotezwa maboya form Six hana tofauti na aliefaulu six kwa ufaulu wa 1 au 2 kisha akaenda kulamba disco Chuoni
 
Bora angekuwa alijikalia kimya kuliko kuhamasisha ujinga huo ndomana watoto sasahivi hata akipiga one Bora kiasi Gani kwenda kidato Cha tano wanazingua sana mwanangu ilibidi nimtolee panga
 
Kwani wasomi wameusha Hadi tuongozwe na form four failule?
Form four failure anafanyaje post-graduate manchester university?.. anafanyaje advanced diploma IDM mzumbe?!..unajua hata maana ya kufeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…