rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Itachukua muda ila kina maldin wapo wana jua nini walifanyaNaona awamu hii tumerudi vizuri ngoja tuone itakuwaje mpaka mwisho wa msimu lakini pia sidhani kama chama langu la AC millan litarudi na moto kwenye UCL kama miaka ya nyuma
Ngoja tuoneItachukua muda ila kina maldin wapo wana jua nini walifanya
Mimi mechi ya simba na stella abdijan mwaka 1993, iliniumiza sana ,kilichoniumiza nilikuwa mdogo,nilimuona mama analia sana,simba alipigwa 2 au 3 kama sijakosea.kuna magoli alifunga jamaa aliiitwa boli zozo.
Nyingine ni mechi ya senegal na uturuki robo fainali kombe la dunia 2002.goli la hakan sukur liliniumiza sana ,
Daah nakumbuka,enzi hizo tunasikiliza tu kupitia RTD.nasikia aliuza kusevu kutoa zawadi ya kia.enzi hizo gari aina ya KIA ilikuwa inatamba sana.[emoji2][emoji2]Kumbe we mkongwe, Simba alipigwa2-0. Zile Kia zikaota mbawa. Hata hivyo inasemekana hiyo mechi mdhamini mkuu wa Mnyero fc kipindi hicho Azim Dewji aliuza hiyo mechi.
Inasemekana Kuna wachache walipewa kwa Siri, akiwemo kipa Mwameja. Hii iliumiza watz wote wakiongozwa na mh. Rais wa wakati huo mzee rukusa. Tokea siku hiyo nasikia aliapa kutorudi uwanjani Tena, na jina la kichwa Cha mwendawazimu likaasissiwa tangia hapo.Daah nakumbuka,enzi hizo tunasikiliza tu kupitia RTD.nasikia aliuza kusevu kutoa zawadi ya kia.enzi hizo gari aina ya KIA ilikuwa inatamba sana.[emoji2][emoji2]
Sasa ndio ilikuwa mwanzo wa mimi kuwa shabiki wa yanga,niliichukia simba kwasabu niliumia kumuona mama analia,na ndio ilikuwa siku ya kwanza kumuona analia.nkaanza kuipenda yanga ya lunyamila,na kina keni mkapa,said mwamba mpaka leo nipo utopolo[emoji2][emoji2]Inasemekana Kuna wachache walipewa kwa Siri, akiwemo kipa Mwameja. Hii iliumiza watz wote wakiongozwa na mh. Rais wa wakati huo mzee rukusa. Tokea siku hiyo nasikia aliapa kutorudi uwanjani Tena, na jina la kichwa Cha mwendawazimu likaasissiwa tangia hapo.
Moyo unadunda..yasije yakatokea Tena kwa platinum..tar 61. Manchester United 3 Bayern 2
Mechi ya mkondo wa kwanza Wayne Rooney alichomwa sindano ya ganzi ili acheze, tukafa 2 kwa 1.
Mechi ya marudiano Arjen Robben anafunga bao la kikatili sana, hakika niliumia sana.
2. SIMBA SC vs UD SONGO (kwa mkapa)
Daah! Luis Miquesson alikua mwiba sana, nilihisi kutoa machozi
YaaniMoyo unadunda..yasije yakatokea Tena kwa platinum..tar 6
Yanga alitoa droo, mtibwa akafungwa na simba akashinda. Kombe bila kutegemewa likaenda simba.π€£π€£π€£ alooo
acha kabisa mkuu nakumbuka baba alishindwa kuvumilia akaamua kuzima radio na kwenda zake kuzurulaYanga alitoa droo, mtibwa akafungwa na simba akashinda. Kombe bila kutegemewa likaenda simba.
Yanga walilala na viatu siku hiyo
We jamaa bhana π πNakumbuka fainali UCL kati ya AC millan vs Liverpool niliumia sana tena mpaka leo liverpool naichukia kinoma
Baloteli π πSitaki niandike mengi "Why Always Me" sisahau mpk leo sikumaliza dkk zote tisini siku ile .
we jamaa ni fala sana hujui unashabikia timu gani, nyie ndio kero mpiraniπMimi mwenyewe hata sijui nashabikia timu gani lkn nafurahi sana pale man u ,liverpool,bacca,simba wakifungwa na hiyo ndio furaha yangu zaidi ya hapo maumivu tu
Hii hata mimi iliniuma sanaaaa, hapo man u tushaanza kusherekea ubingwa[emoji23][emoji23]Aguerooooooooooooooooo...!
Niliacha kushabikia mpira kwa muda, ila baadaye machungu yalipoa.
Maza ako mtu poa sana kumbe shabiki wa Simba?Mimi mechi ya simba na stella abdijan mwaka 1993, iliniumiza sana ,kilichoniumiza nilikuwa mdogo,nilimuona mama analia sana,simba alipigwa 2 au 3 kama sijakosea.kuna magoli alifunga jamaa aliiitwa boli zozo.
Nyingine ni mechi ya senegal na uturuki robo fainali kombe la dunia 2002.goli la hakan sukur liliniumiza sana ,
Hii nayo jamaa alijua kutukera kwa kweli. Dah!Sitaki niandike mengi "Why Always Me" sisahau mpk leo sikumaliza dkk zote tisini siku ile .
Kwamba simba ilikua haifungiki au mpinzani anunue mechi? Sikubaliani na hili.Daah nakumbuka,enzi hizo tunasikiliza tu kupitia RTD.nasikia aliuza kusevu kutoa zawadi ya kia.enzi hizo gari aina ya KIA ilikuwa inatamba sana.[emoji2][emoji2]