YaaahMaza ako mtu poa sana kumbe shabiki wa Simba?
kama yapi
Na alaaniwe popote alipo kenge yuleKila nikikumbuka Jinsi Said Bahanuzi alivyokosa penalty ya Yanga dhidi ya Zamalek naishiwa nguvu mpaka Leo [emoji51][emoji51][emoji51]
Mechi ya kwanza ndiyo alichomwa sindanoMechi ya kwanza nafikiri ndio Rooney aliumia ya marudiano akalazimika kuchomwa sindano ili acheze na kwa mchango wake tuliongoza 3 bila hadi apo anaanza kuchechemea ikabidi atolewe bayern wakaamka sasa
Asamoah Gyan alikosa Penalty, akaipaisha. Afrika (Ghana) ikakosa nafasi ya kutinga semi final kombe la dunia 2010Uruguay vs Ghana World Cup 2010. Ilikuwa robo fainali.
Ilikuwa 2006 ile. Poleni sana2006 mwaka ulikuwa si sehemu yangu ya kushangilia vikombe..
Arsenal tunakufa fainali ya uefa vs barca
Kisha
France anakufa fainali ya world cup vs italy
Nilijisikia uchungu sana ile siku. Mario Balotelli hatakaa asahaulike kamwe nyau yuleMan u alihitaji city apigwe au atoke sare, sasa hadi dakika ya 90 city kapigwa mbili moja, dakika za nyongeza city kasawazisha na kapiga latatu mtu mzima Kun kafanya yake na ndio game ya mwisho epl
Simba tulikula 2-0 siku ile. Ni mwaka 1993Mimi mechi ya simba na stella abdijan mwaka 1993, iliniumiza sana ,kilichoniumiza nilikuwa mdogo,nilimuona mama analia sana,simba alipigwa 2 au 3 kama sijakosea.kuna magoli alifunga jamaa aliiitwa boli zozo.
Nyingine ni mechi ya senegal na uturuki robo fainali kombe la dunia 2002.goli la hakan sukur liliniumiza sana ,
Hii mechi mashabiki wa Barca hawataki kuisikia kabisa. Meza ilipinduliwa kibabe mnoooo. Mikeka ilochanika vibaya sana, kwa wale wanaopenda ku bet. Spurs akapindiua meza ya Ajax 😀 😀 😀 😀Liverpool 4 Barca 0
Watu walizimia sana taifa ile siku. Naikumbuka sanaKuna siku Yanga hadi mapumziko alikua anaongoza goli 3 dhidi ya simba nkajua zile 5 leo zinarudi mechi inaisha 3 tatu, ilinuima sana hii mechi.
hii mechi iliniumiza sana,mesi na iniesta ni washenzi hawana huruma kabisa,David villa naye alipiga goli Kali sana.......yan mpaka Alex fergie alikuwa anatetemeka vle nkaona hapa catalunya wametuweza aiseeeMan u vs barca ( uefa final).Xavi, Iniesta, Messi dah ilikuwa mateso kwa Man u kwa dakika 80 maana Man u walicheza dakika 10 tu.
FInal ya mwaka gani? 2009 ama 2011?Man u vs barca ( uefa final).Xavi, Iniesta, Messi dah ilikuwa mateso kwa Man u kwa dakika 80 maana Man u walicheza dakika 10 tu.
Ile combination ya Barca ni balaaMan u vs barca ( uefa final).Xavi, Iniesta, Messi dah ilikuwa mateso kwa Man u kwa dakika 80 maana Man u walicheza dakika 10 tu.
Zote zilikuwa mateso kwa man u ila moja ilikuwa mateso zaidi. Sikumbuki vizuri ila ni ile messi anaruka hewani kupiga goal la kichwa.FInal ya mwaka gani? 2009 ama 2011?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hakuna siku niliumia kama siku JT wa Chelsea kutukosesha UCL kwa kukosa penati ya mwisho dhidi ya Man U ilikuwa 2008 mjini Moscow.
Saivi tungekuwa tunahesabu 2 UCL CUPS
Hebu tiririka mechi gani ilikuuma sana.
[emoji23][emoji23]Sitaki niandike mengi "Why Always Me" sisahau mpk leo sikumaliza dkk zote tisini siku ile .
basi kama kuna siku niliichukia real madrid ni pale real ramos anamvuja mkono salah...karius anatuchoma bale anatutungua benzema anatutungua[emoji23][emoji23] aise ile game sitasahauHakuna siku niliumia kama siku JT wa Chelsea kutukosesha UCL kwa kukosa penati ya mwisho dhidi ya Man U ilikuwa 2008 mjini Moscow.
Saivi tungekuwa tunahesabu 2 UCL CUPS
Hebu tiririka mechi gani ilikuuma sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mwaka nimeusahau mtanikumbusha. Yanga alikuwa anaongoza ligi kwa point 2 zaidi ya simba, mtibwa (kama sijakosea) alikuwa nafasi ya pili kamzidi simba point 1, simba akiwa anashika nafasi ya tatu na kila mtu amebakiwa na mechi moja zote zinachezwa siku moja. Ubingwa ulikuwa kati ya yanga au mtibwa simba hakuwa kwenye hesabu za ubingwa. Siku hiyo RTD hawakutangaza mechi yoyote kwa hiyo kila mtu alikuwa anasubiri saa mbili kasorobo asikie yanga au mtibwa atangazwe bingwa. Mbili kasoro mtangazaji anaanza kwa kusema SIMBA BINGWAAA.
Sisi teamZizzou hii siku tulifurahi sana.basi kama kuna siku niliichukia real madrid ni pale real ramos anamvuja mkono salah...karius anatuchoma bale anatutungua benzema anatutungua[emoji23][emoji23] aise ile game sitasahau