Hebu tukumbushane uongo ambao Watanzania tuliwahi kudanganywa

Hebu tukumbushane uongo ambao Watanzania tuliwahi kudanganywa

Lile chaka alilowaingiza Watanzania yule Babu wa Loliondo na kikombe chake cha tiba, lilikuwa balaa sana.
Nafikiri kile kikombe cha Babu kilikuwa ndio zile waingereza wanaita "hoax" au hadaa kubwa zaidi kuliko nyingine yoyote katika historia yetu. Kama mzee yule angetaka kuua watanzania wote angefanikiwa kirahisi kabisa na Magufuli angelikuwa watu wa kwanza kwanza kufa.
 
Niliambiwa hawa walianza kuzeeka ndo wakawa vijana
2406472_joti-mpoki-enzi-hizo.jpg
 
Baada ya uvumbuzi wa gesi asilia ,mtwara itakuwa kama Dubai na matumizi ya mkaa yatakuwa mwisho.
Wakatamani wavunje daraja la rufiji eti wajitengee wale raha kivyao na gesi yao yaan njomba nchumari walijidanganya......na yule bibi yao waliyesemaga eti ataigeuza geai kuwa maji hahahaha
 
TANZANIA TULIAMBIWA TUTASHTAKIWA MIGA.
NADHANI DEMU MMOJA ANAITWA "SULI" ALITUAMBIA HIVYO.
 
Awamu ya tano kuongeza watumishi mishahara hahaaaahaa kumbe porojo
 
"Hifadhi ya Burigi-Chato kumiminika watalii watakaoshukia Chato International Airport"
 
Back
Top Bottom