Hebu tukumbushane uongo ambao Watanzania tuliwahi kudanganywa

umenikumbuusha kitu cha gesi ila Tanzania uwa tuna flow na trend jamani. Mimi nilikuwa ninahisi yani hapa tunaelekea kuwa kama Bahrain si kwa kiki za gesi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji3]Eti kama bahrain leo kimya,sasa hivi wameanzisha bwawa la rufiji wanasema likiisha hilo hakuna mgao tena wa umeme
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji3]Eti kama bahrain leo kimya,sasa hivi wameanzisha bwawa la rufiji wanasema likiisha hilo hakuna mgao tena wa umeme
Sasa hivi ni mwendo wa Stiglers Gorge tukitoka hapo Mungu akajalia tukapata mafuta tuhamia kwenye mafuta. Tunacheza kila aina ya mdundo toko dungu mpaka funk
 
Mwaka 2015 (na kabla yake)

Uchumi wa gesi

Milioni 50 kila kijiji

Mkopo kwa kila mwanafunzi wa chuo kikuu

Bandari ya Bagamoyo
 
Vijana walidanganywa na kupelekwa kwenda kusoma masomo ya uchumi wa gesi. Sasa hivi wamerudi halafu hawana kazi!
 
Walaaniwe wanasiasa. Nilinunua kiwanja Mtwara kwa kiki hizi hizi. Sasa hivi ni kichaka tu kwenye viwanja. hakuna uchumi wowote. Hakuna aliyejenga hata mmoja.
Baada ya uvumbuzi wa gesi asilia ,mtwara itakuwa kama Dubai na matumizi ya mkaa yatakuwa mwisho.
 
Yule mwanasheria kabla ya kujeruhiwa na wasiojulikana alilieleza Taifa kwamba " TUTASHITAKIWA MIGA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…