Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

Wow! Good for you.

BTW Shida sio zile $
Ni ile 1980 [emoji23][emoji23]
Naiona ndefu mno.
Mbona michango yangu mingi tu na uhalisia wangu
Umri umeenda ila namshukuru Mungu bado niko fit kiafya na wajukuu ninao wengi tu ndio maana huwa najibu jinsi mtu anavyokuja kama ni utani pia natania ila sio wa kuvuka mipaka

Trust me ni babu
 
Humu ndani mtu anaweza kusema yeye ni babu kumbe ndio kwanza yuko Mid 30s.

65 unachat jf!! Kweli uko more than fit
 
duh, jf kuna vipipa nilijua ni stori tu.....
Usijali mkuu hata wewe unaweza kufika ulipoandikiwa
Pambana sana na uwe na malengo utastaafu kwa raha sana

Kama una watoto wekeza kwao sana hata ukiwawekea hela bank kila mwezi tupia choxhote wakifika 18 wanaweza kujilipia Uni kwa hela uliziwawekea

Unajiwekea akiba yao baadae wasihangaike

Mimi kila mwaka naenda kutalii nchi mbili
Hata iwe siku 5 I don't mind
Nasubiri kupanda meli kubwa duniani inayotarajiwa kuanza safari mwakami ni kubwa mara 5 kuliko Titanic

Hapo vipi
 
Humu ndani mtu anaweza kusema yeye ni babu kumbe ndio kwanza yuko Mid 30s.

65 unachat jf!! Kweli uko more than fit
Nashukuru ila sio kwa ubaya
Napenda kusoma Habari nyingi humu kwani sipitwi na news

Wengine wako bongo mimi ndio nawaambia kinachoendelea
Ila simo kuchat kihivyo you know what I mean [emoji57]
 
Back
Top Bottom