hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,616
- 1,282
Hawa ndo wanaenjoy TanzaniaMshahara wangu wa kwanza ulikuwa 1,000,000 mwaka 2021 na wa pili nikalamba shavu take home 3.5m mwaka 2023
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ndo wanaenjoy TanzaniaMshahara wangu wa kwanza ulikuwa 1,000,000 mwaka 2021 na wa pili nikalamba shavu take home 3.5m mwaka 2023
Tupe connectionMshahara wangu wa kwanza ulikuwa 1,000,000 mwaka 2021 na wa pili nikalamba shavu take home 3.5m mwaka 2023
Vp mkuu ulirejesha hicho kiasi?Nilianza na mshahara 1.2 million... ndani ya miezi sita nikapiga tukio la zaidi 40 million... nikadakwa nikawekwa ndani.. wakanitoa baada ya siku tatu nikarudishwa kazini... nikafanya miezi mitatu nikaacha kazi mwenyewe.... paka sasa hivi mshahara wangu ni NIL sifuriii