Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Location wazi haipendezi et...Tz vijiji ni vingi hebu weka location vizur🤣🤣🤣🤣
Kila mtu afahamu kama nalima mlenda?
Tuingie chemba tuongee vizuri maana wachawi wengi hapa mtaani JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Location wazi haipendezi et...Tz vijiji ni vingi hebu weka location vizur🤣🤣🤣🤣
No,pesa ilikuwa na thamaniUtakua fisadi wewe
Daah hata sijazaliwaPindi nilipomaliza shule tu nikasepa na mshahara wangu wa kwanza ulikuwa $900 mwaka 1980
MarahabaDaah hata sijazaliwa
Shikamoo mzee wangu
Huku unakoelekea naona km unapotelea pmHawa vijana wa sasa hv tabu tupu babu...afu hamsini wanaitoa huku wanalia machozi au hawatoi kabisa
Amina sanaMarahaba
Ila tuombe Mungu na wewe siku moja uitwe Babu
Khaaa kufanya nini tenaHuku unakoelekea naona km unapotelea pm
Sidhani kama anawaza hayoHuku unakoelekea naona km unapotelea pm
mkuu operator wako wa heavy machine mkuu bado machaka hayaja fungukaNimejikuta nawaza tu....
Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh.
Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
Sep 1997 nilipata ajira yangu ya kwanza Tanesco,take home ilikua 75,000/Nimejikuta nawaza tu....
Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh.
Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.