Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

[emoji1] [emoji1787] [emoji23]
Hao naona watakuwa Rika lenu tu maana wazee huwa hatutongozi bali uvaaji tu na mwendo au hotel tunazotoka utajua ooh acha nijipitishe pitishe [emoji1] [emoji1787]
🤣🤣🤣🤣 ewaaa wazee hawatongozi wala haji pm kuuliza wapi hiyo ☺
Anauliza tu are you free this weekend let's go to zanzibar
Hapo sasa unajiongeza😎
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ewaaa wazee hawatongozi wala haji pm kuuliza wapi hiyo [emoji5]
Anauliza tu are you free this weekend let's go to zanzibar
Hapo sasa unajiongeza[emoji41]
Aisee
Wewe unatujua wazee kwa hakika
Hayo ya kuwasumbua PM hatuna kabisa ni mwendo wa Bata tu tena ticket unakatiwa bila kujua

Ila msitusifie sana tusije tukanwa na kukatwa mitama [emoji1]
 
Hongera tena badala ya kunipa pole na kunipatia ujira wa u house gelo
Nidokeze kidogo niyajue uliyopitia
Nakupa hongera kwa mengi 😅

Kingine Tatizo unahitaji ukianza hata hiyo kazi ya housegelooo salary iwe kubwa bora ubaki tu nyumbani maana utakonda hadi nafsi kwa malipo kidogo.
 
Hawa vijana wa sasa hv tabu tupu babu...afu hamsini wanaitoa huku wanalia machozi au hawatoi kabisa
Yaani mimi kumpa mtu 10,000 naona nimemtukana [emoji1] [emoji1787] au kumvunjia heshima kabisa
Bora hata Laki
 
Hawa vijana wa sasa hv tabu tupu babu...afu hamsini wanaitoa huku wanalia machozi au hawatoi
Yaani mimi kumpa mtu 10,000 naona nimemtukana [emoji1] [emoji1787] au kumvunjia heshima kabisa
Bora hata Laki
Hi ndyo tofauti ya daddie na babe 😇
 
Mshahara wangu wa kwanza December 2019 ulikuwa 20K kwa siku so ni around 600K kwa mwezi, ukipata safari Posho ilikuwa 2.7M hiyo haijalishi mko wangapi ukienda mwenyewe unaichukua yote mkienda kuanzia wawili na zaidi mnagawana wote sawa, hata hivyo haikuwa ajira permanent ilikuwa tempo ililast kwa mwaka mmoja tu
 
Nakupa hongera kwa mengi 😅

Kingine Tatizo unahitaji ukianza hata hiyo kazi ya housegelooo salary iwe kubwa bora ubaki tu nyumbani maana utakonda hadi nafsi kwa malipo kidogo.
Hongera kwa mengi kama yapi🤔

Bora ya malipo kidogo kuliko kukaa mtupu itasidia kupata mtaji kwa kudunduliza
hebu weka malipo niumize kichwa
 
Hongera kwa mengi kama yapi🤔

Bora ya malipo kidogo kuliko kukaa mtupu itasidia kupata mtaji kwa kudunduliza
hebu weka malipo niumize kichwa
Fika huku kijijini ninapoishi tuzungumze vizuri kuhusu hilo

Hatuwezi kunyimana mambo mazuri
 
Back
Top Bottom