65?I'm 65 now
Moja yangu nyingine Mrs na wanangu wawili bisha sasa nikualike nilipo View attachment 2692208
Mbona michango yangu mingi tu na uhalisia wanguWow! Good for you.
BTW Shida sio zile $
Ni ile 1980 [emoji23][emoji23]
Naiona ndefu mno.
Vipipa ndo vinini nawe? Msalimie daddie yetu kwanza π€£π€£duh, jf kuna vipipa nilijua ni stori tu.....
Huko selfika mbona niliweka kitambo au ilikupita?65?
Mtu wa Ulaya kuwa na hizo funguo zote siwezi bishana.
Twend kule selfika basi unionyeshe kidevu cha mubaba wa 65yrs [emoji6]
Humu ndani mtu anaweza kusema yeye ni babu kumbe ndio kwanza yuko Mid 30s.Mbona michango yangu mingi tu na uhalisia wangu
Umri umeenda ila namshukuru Mungu bado niko fit kiafya na wajukuu ninao wengi tu ndio maana huwa najibu jinsi mtu anavyokuja kama ni utani pia natania ila sio wa kuvuka mipaka
Trust me ni babu
Itakuwa ilinipita, sijawahi kukuona hata ukichat paleHuko selfika mbona niliweka kitambo au ilikupita?
vipipa wananukia helaπVipipa ndo vinini nawe? Msalimie daddie yetu kwanza π€£π€£
Mafogo sio πvipipa wananukia helaπ
hiyo 'daddie' ina utataπ
65 kwangu babu kabisa mama yangu ana umri wa kua binti yakeπMafogo sio π
65yrs ni daddie yetu bana,, daddie ina utata gani? π
Usijali mkuu hata wewe unaweza kufika ulipoandikiwaduh, jf kuna vipipa nilijua ni stori tu.....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vipipa ndo vinini nawe? Msalimie daddie yetu kwanza [emoji1787][emoji1787]
Sasa umri wote huo iweje hadi leo hujajitafuta unabet 500 bwana Na?30-03-2006.....Nasaini Cont yangu ya kwanza kwa Hr...Gross salary ya 410,214... Nett pay ikigota 330k monthly .....
Nashukuru ila sio kwa ubayaHumu ndani mtu anaweza kusema yeye ni babu kumbe ndio kwanza yuko Mid 30s.
65 unachat jf!! Kweli uko more than fit
Niliweka picha yangu moja ila sikurudi tena bali nilijibu few commentsItakuwa ilinipita, sijawahi kukuona hata ukichat pale
πππMbona kasahwahi kuselfika unashau sana ndugu65?
Mtu wa Ulaya kuwa na hizo funguo zote siwezi bishana.
Twend kule selfika basi unionyeshe kidevu cha mubaba wa 65yrs π
I appreciate your kind words [emoji3590] [emoji120]Mafogo sio [emoji23]
65yrs ni daddie yetu bana,, daddie ina utata gani? [emoji23]
[emoji23][emoji23] kumbe!Maboss wengi humu Wanatafuta ajira
Ukimwinua mtu hata na liten akaja kukumention jukwaani
Tsunami unaikuta PM
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Utajua kwanini hata ID za kiume tumefunga PM
Thank you very much [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kasahwahi kuselfika unashau sana ndugu