Hebu wachek hawa Aspirin sijui ndio Chrispin sina uhakika na Dark City (DC)

Ya kushushi pilau babu teh teh teh teh, JF is here to stay.

Mdogo wangu Lily,

Hivi machingwa na pilau vinaenda au kweli au sijui pilau unayoiongelea? Mimi najuaga kiboko ya pilau ni ndizi..!!
 
Mbona nimeiona si zaidi ya wiki mbili zilizopita? Niliona vi sprouts vya nywele nikasema 'asitakifururahi'.......:smile-big::smile-big:

embe likikomaa mtini huwa linajidondosha lenyeweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hapa hamna ugomvi. Huwezi kugombana na vivuli vya watu. Mnaochukulia mambo kiugomvi ugomvi mnakosea. Having said that, be easy and be good. King Ngabu is out and y'all have fun taking pot shots. Only if they killed.....:smile-big:

Adios amigos

Mi nshasema embe likikomaa ntini huwa linajidondosha lenyewe huwa linaanza upepo ukipita ntungue, ntungueni jamani ukinyamaza linatulia unaendelea ntungue nitungueni jamani likiona halitunguliwi linajidondosha watu mwaokota mwala heheheeeeeeeeeeeee JF
 
Mdogo wangu Lily,

Hivi machingwa na pilau vinaenda au kweli au sijui pilau unayoiongelea? Mimi najuaga kiboko ya pilau ni ndizi..!!

Vinakwenda kaka hasa yakiwa mawili waliomenywa sawia... lakini kwa pilau ndizi moja tu yatosha
 
Vinakwenda kaka hasa yakiwa mawili waliomenywa sawia... lakini kwa pilau ndizi moja tu yatosha

Sasa huo ndo ufafanuzi wa kiutu uzima niliokuwa na usubiri...Machungwa mawili...yamemenywa vizuri, na yamepangwa vizuri..hayawezi kutenganisha ati? Ndo sasa mambo yanakuwa mswano.

Ubarikiwe sana..ingawa hujajibu kama unahitaji huduma ya dharura baada ya chakachua ya DOM!
 
Kisamvu cha babako

hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa pain killer waona lakini mwe nimecheka mpaka basi jamani hebu jioneeni hii kha kweli inabidi tukubali kutokubaliana kikubwa my dia hata ufanyeje hutonikasirisha
 

Babu ulikuwa umelala mbona umeamka ghafla kabla ya usingizi haujaisha nini tatizo au umekuja kusikiliza matokeo ya waziri mkuu au mama big ndio kakuamsha
 
Kweli hata mimi ninapoingia jamii forum huwa naburudika hata kama nina stress hii kwangu ni stress free zone, ila inabidi tukubali tu kuwa watu tumeubwa tofauti na pia tumepata malezi tofauti, kuna watu wengine ukizungumza naye unaweza ukahisi ana hasira au ana kugombeza kumbe maskini ndivyo alivyo. Especially watu wa musoma ( tarime) sio wote kama wapo mtanisamehe
 
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa pain killer waona lakini mwe nimecheka mpaka basi jamani hebu jioneeni hii kha kweli inabidi tukubali kutokubaliana kikubwa my dia hata ufanyeje hutonikasirisha

Hahahaaa kwa kweli ukikasirika hata mimi sitakuelewa. Kwa nini ukasirikie kivuli? Si utakuwa huna akili timamu.....lakini kama huudhiki wala kukasirika basi hakuna haja ya kukimbilia kwa painkiller, au siyo? Unanipotezea tu....heheheheheheheeee
 

loveness iddi ya kesho nakuja kwako
 

mmmh nini baba NN !!???:bowl::bowl::bowl:
 

Mmmhhh ikiwa ya dharura sinta enjoy sana nataka tupange kabisaaaaaaaaa si wajua tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…