Hebu wachek hawa Aspirin sijui ndio Chrispin sina uhakika na Dark City (DC)

Wote humu jamvini ni vivuli but you nononon darling this is your true colour anyway may our alminghty God have mercy on you (rekebisha kidogo grammar naona haijakaa vzr eti mwalimu)
Mamito, NN keyboard tu, hakuna kitu!
 
Mamito, NN keyboard tu, hakuna kitu!

Khekheeeeeeeeee.....loh!!!! Hizi keyboard diagnosis hizi.....nimezivulia kofia

Iribini naona umeshindwa kujizuia na wewe lol (biggy wa ukweli wapi?)
 
akananana akananana kaile kona kaile kaile nikeogolaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwi kwi kwi kwi kwi wapi rutashubanyuma, wapi katerelo njoo fafanua hii hapa

Maty naona umenza mapema,

Vipi Idd umejipangaje?
 
Jamani hivi Waziri Mkuu ni nani tena?:doh::doh::doh::doh:
 
Mh. Mizengo Kayanza Peter Pinda

Nimeenda kuchungulia lile jukwaa la watu wanaopenda kugombana na keyboard nikakuta mtu ameandika comment ifuatayo nimecheka sana nanukuu "Jiko lile lile, mpishi yule yule, chakula kile kile, sahani ya kulia mezani ile ile"
 
nimepita kuwasalimia .....nataraji nyote wazima na matayarisho ya Eid kesho

breakfast is on me 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…