Hebu wachek hawa Aspirin sijui ndio Chrispin sina uhakika na Dark City (DC)

Hebu wachek hawa Aspirin sijui ndio Chrispin sina uhakika na Dark City (DC)

Wote humu jamvini ni vivuli but you nononon darling this is your true colour anyway may our alminghty God have mercy on you (rekebisha kidogo grammar naona haijakaa vzr eti mwalimu)
Mamito, NN keyboard tu, hakuna kitu!
 
akananana akananana kaile kona kaile kaile nikeogolaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwi kwi kwi kwi kwi wapi rutashubanyuma, wapi katerelo njoo fafanua hii hapa

Maty naona umenza mapema,

Vipi Idd umejipangaje?
 
Mh. Mizengo Kayanza Peter Pinda

Nimeenda kuchungulia lile jukwaa la watu wanaopenda kugombana na keyboard nikakuta mtu ameandika comment ifuatayo nimecheka sana nanukuu "Jiko lile lile, mpishi yule yule, chakula kile kile, sahani ya kulia mezani ile ile"
 
nimepita kuwasalimia .....nataraji nyote wazima na matayarisho ya Eid kesho

breakfast is on me 🙂
 
Back
Top Bottom