Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Ila kweli kama hawa watu ni wa jinsia ya KE....
Halafu ukute ni watu na heshima zao hapa wanakuja tu kurefresh mind, utakuwa umewakosea kwa kuwabadilisha jinsia zao
Watakosa Uhuru wa kuchangia au kuanzisha mada kwasababu tayari wadau watawachukulia ni Wanaume