Naona kama unajisimbua hivi mkuu maana sioni kama itakuwa ni njia sahii sanaSihitaji marafiki mkuu nawahitaji wao kama wao!,Sitokuwa na Bajeti ya Marafiki!
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ.Mimi na salamu ni vitu viwili tofauti,salamu zimefanya waafrika wengi wamekuwa masikini!
Hebu nyie mademu wa hapa Jf naomba mniondolee huu utata(Mkanganyiko) ambao unaendelea kunitia wasiwasi humu Jf.
Kumekuwa na utaratibu siku hizi humu Jf hata wanaume kutumia Id za kike,sijajua lengo la wao kufanya hivyo ni kitu gani!
Kwakuwa uongo na utapeli hapa Jf umekuwa wa kutosha,naomba kesho niwatoe wafuatao "OUT" ili kujiridhisha kweli kama ni KE na wala siyo ME.
MALENGO
Malengo ya Kutoka Out ni Kufahamiana,Kubadirishana Mawazo na Ku-Enjoy kwa pamoja kama wanafamilia wa JF.
Kwakua watumiaji wengi wanaotiliwa mashaka ni wanaotumia Id zenye majina ya KE,naomba wafuatao ikiwapendeza kesho tutoke wote kama Familia ili niamini kweli ni KE.
1. Jemima Mrembo
2. cocastic
3. MZURI SANA
4. Lamomy
5. Demi
6. To yeye
7. Leejay49
8. Carleen
9. recho Jr
10. Hornet
Kama nilivyosema,lengo ni kufahamiana,kubadirishana mawazo na Ku-have funny!
ENEO
Eneo ambalo kwangu nahisi litakuwa Karibu na nililolizoea ni pale Mlimani City Samaki- Samaki,Ila nyie mnaweza pia mkapendekeza eneo ambalo mtakuwa mnaona mko- Comfortable kuenjoy.
Nimependekeza hao wanawake kwa siku ya Kesho kwasababu gharama za kuwamudu ninazo,watakula watakacho na kunywa watakacho!.
Nia na Lengo ni kuondoa huu utata wa kudhani nyie ni madume,naombeni mnidhitishie kwa vitendo hiyo Kesho.
Wengi wenu nafahamu mnao usafiri wenu binafsi lakini itakuwa vema kila mmoja akatumia Uber au Bolt ili tuweze kuwa Comfortable zaidi(Ili wasiokuwa na usafiri wasijisikie vibaya).
Fedha ya Usafiri nitalipia mimi,wala msijali!
Naomba kufahamu ratiba zenu nyote niliowatag ili nijue nafanyaje,nitakapojua ratiba zenu nitapanga muda sahihi wa sisi kukutana pale!.
Lengo si kutongozana wala mambo ya Ajabu,Lengo ni kufahamiana tu!.
Nawasilisha!
Lazima ushangae.Naona kama unajisimbua hivi mkuu maana sioni kama itakuwa ni njia sahii sana
Kama wakichongo Dili na mabint wengine Ili wakuoneshe kuwa wao ni wanawake utakuwa umeridhika hapo au wewe utakuwa na njia ipi nyingine wakifika hapo Ili ujiridhishe, kuuliza maswali kuhusu Jf na thread zao
Usisahau kutoa mrejesho.Mimi na salamu ni vitu viwili tofauti,salamu zimefanya waafrika wengi wamekuwa masikini!
Hebu nyie mademu wa hapa Jf naomba mniondolee huu utata(Mkanganyiko) ambao unaendelea kunitia wasiwasi humu Jf.
Kumekuwa na utaratibu siku hizi humu Jf hata wanaume kutumia Id za kike,sijajua lengo la wao kufanya hivyo ni kitu gani!
Kwakuwa uongo na utapeli hapa Jf umekuwa wa kutosha,naomba kesho niwatoe wafuatao "OUT" ili kujiridhisha kweli kama ni KE na wala siyo ME.
MALENGO
Malengo ya Kutoka Out ni Kufahamiana,Kubadirishana Mawazo na Ku-Enjoy kwa pamoja kama wanafamilia wa JF.
Kwakua watumiaji wengi wanaotiliwa mashaka ni wanaotumia Id zenye majina ya KE,naomba wafuatao ikiwapendeza kesho tutoke wote kama Familia ili niamini kweli ni KE.
1. Jemima Mrembo
2. cocastic
3. MZURI SANA
4. Lamomy
5. Demi
6. To yeye
7. Leejay49
8. Carleen
9. recho Jr
10. Hornet
Kama nilivyosema,lengo ni kufahamiana,kubadirishana mawazo na Ku-have funny!
ENEO
Eneo ambalo kwangu nahisi litakuwa Karibu na nililolizoea ni pale Mlimani City Samaki- Samaki,Ila nyie mnaweza pia mkapendekeza eneo ambalo mtakuwa mnaona mko- Comfortable kuenjoy.
Nimependekeza hao wanawake kwa siku ya Kesho kwasababu gharama za kuwamudu ninazo,watakula watakacho na kunywa watakacho!.
Nia na Lengo ni kuondoa huu utata wa kudhani nyie ni madume,naombeni mnidhitishie kwa vitendo hiyo Kesho.
Wengi wenu nafahamu mnao usafiri wenu binafsi lakini itakuwa vema kila mmoja akatumia Uber au Bolt ili tuweze kuwa Comfortable zaidi(Ili wasiokuwa na usafiri wasijisikie vibaya).
Fedha ya Usafiri nitalipia mimi,wala msijali!
Naomba kufahamu ratiba zenu nyote niliowatag ili nijue nafanyaje,nitakapojua ratiba zenu nitapanga muda sahihi wa sisi kukutana pale!.
Lengo si kutongozana wala mambo ya Ajabu,Lengo ni kufahamiana tu!.
Nawasilisha!
Sawa mkuuUsisahau kutoa mrejesho.
Mkuu hao mabinti nitawauliza maswali kuhusu JF hadi watoroke badala ya Kukimbia!Naona kama unajisimbua hivi mkuu maana sioni kama itakuwa ni njia sahii sana
Kama wakichongo Dili na mabint wengine Ili wakuoneshe kuwa wao ni wanawake utakuwa umeridhika hapo au wewe utakuwa na njia ipi nyingine wakifika hapo Ili ujiridhishe, kuuliza maswali kuhusu Jf na thread zao
Mkuu nia ni kufahamiana!Mkuu TUKANA UONE ukishahakikisha Carleen ni Jinsia Ke/Me itakusaidia nini kwenye maisha yako ya sasa na yajayo..??
Msisahau picha na video
Akuu sijatajwa kwenye list ๐ ๐ ๐[emoji23][emoji23][emoji23] bff we hutoki?
Akuu sijatajwa kwenye list [emoji28][emoji28][emoji28]
Stupid is as stupid does
Anazingua huyo[emoji23]We mzee vipi?[emoji1787]
Babe naomba ruhusa kesho niende Mlimani City [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] ukimpata nishtueMimi namtaka huyo Lamomy sana
Anazingua huyo[emoji23]
Wa kike/wenye I'd za kike wapo wengi mno humu ndani mkuu, why us 10..??Mkuu nia ni kufahamiana!
[emoji23][emoji23] ukimpata nishtue
Twende bana unisindikize bff wako [emoji23][emoji23][emoji23]
Nisije nikacheka nikapata dhambi buree bff unanijua siwezi kujizuia