Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

Tukatie tiket ya ndege mkuu mim nije maana naona wamegoma [emoji23][emoji23]
 
Kuna mmoja hapo kama wewe hutatoka nduki basi utajikuta unaishiwa nguvu, halafu yeye atajibu haloooooo! Si ulijifanya unayawezaaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu, mbona hao wote ulio wataja ni Me..[emoji848]
Hapo cocastic ndi ninauhakika ni Ke...[emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee usinitajee mie? Hebu mpe picha yangu tena nikiwa nimenyoa ndevu aridhike, ili asipate tabu.

Watu wanataka kunijua na wee unanijua vyedii upo? Unaniangushaa.
 
Mbona unajitetea sana?[emoji23]
 
Umesema kweli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…