Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

Na ndiyo maana nilitaka wani-pm mapema ili tupange kwa pamoja muda wa kutoka kama ikiwezekana niwapitie ambao ningeweza na gari yangu halafu wengine wangekuja na Uber/Bolt,sasa unategemea mimi hapo ulitaka niwamainishe vipi bila kuzungumza nao?
Pm ya nini si uweke kila kitu hapa peupe!!
Kwann hiyo offer hukuileta pm?
Wewe weka kila kitu hapa acha kona kona 😂😂😂
 
Boss naenda kulala natumai asubuhi nitayakuta maelezo hapa umeacha.
Na utokee kweli 😂😂😂
 
Pm ya nini si uweke kila kitu hapa peupe!!
Kwann hiyo offer hukuileta pm?
Wewe weka kila kitu hapa acha kona kona 😂😂😂
Sasa hata nikiweka hapa kila kitu kesho utafikaje eneo la tukio bila mawasiliano?,Kwanini wewe usiweke mawasiliano yako hapa ili iwe rahisi kesho kupatikana?
 
Ulieleta offer ndio uweke muda na namba za simu tukupigie mbona unayumba boss 😂😂😂
Siwezi kuweka namba zangu hadharani kiasi hicho!

Ishu ilikuwa ni kwa ajili yako na wenzio na utaratibu nikautoa mapema,ilikuwa ni kuja pm kama ungetaka namba yangu ungeipata pm ili mawasiliano yafanyike!.

Hii imetosha kuamini nilichokuwa nina mashaka nacho!
 
Visungura vishapanda kichwani?
Tena sio dume tu!! Ila dume la mbegu ntakukaza shauri yako 😂😂😂😂
Ubebe na dume cdm kesho mwali sawa?
Saa ngapi utakuwa tayari eneo la tukio?
Nashukuru kwa matusi yako!
 
Siwezi kuweka namba zangu hadharani koasi hicho!

Ishu ilikuwa ni kwa ajili yako na wenzio na utaratibu nikautoa mapema,ilikuwa ni kuja pm kama ungetaka namba yangu ungeipata pm ili mawasiliano yafanyike!.

Hii imetosha kuamini nilichokuwa nina mashaka nacho!
Pm hatuji na namba hatuweki hapa, wewe mwenye shida ya kujua umiliki wetu wa kende au kissme ndio uweke namba 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom