Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Pm ya nini si uweke kila kitu hapa peupe!!Na ndiyo maana nilitaka wani-pm mapema ili tupange kwa pamoja muda wa kutoka kama ikiwezekana niwapitie ambao ningeweza na gari yangu halafu wengine wangekuja na Uber/Bolt,sasa unategemea mimi hapo ulitaka niwamainishe vipi bila kuzungumza nao?
π€£π€£ππππ hatareee!!
Wewe hatukujui chaajabu unataka kutujua kilazima!!! Kesho utokee Mlimani sasa sio umepiga visungura ukazima afu usitokee
We demu vipi?ππππ hatareee!!
Wewe hatukujui chaajabu unataka kutujua kilazima!!! Kesho utokee Mlimani sasa sio umepiga visungura ukazima afu usitokee
nimeipenda hii,Ww komaa na mmoja, nenda taratibu. Alafu lainisha na maokoto kidogo isiwe sana.
Sasa hata nikiweka hapa kila kitu kesho utafikaje eneo la tukio bila mawasiliano?,Kwanini wewe usiweke mawasiliano yako hapa ili iwe rahisi kesho kupatikana?Pm ya nini si uweke kila kitu hapa peupe!!
Kwann hiyo offer hukuileta pm?
Wewe weka kila kitu hapa acha kona kona πππ
Wewe nenda kapigwe na Mbu huku ukiamka asubuhi uanze kuumiza kichwa mchana utakula nini!,Dume wewe!Boss naenda kulala natumai asubuhi nitayakuta maelezo hapa umeacha.
Na utokee kweli πππ
Ulieleta offer ndio uweke muda na namba za simu tukupigie mbona unayumba boss πππSasa hata nikiweka hapa kila kitu kesho utafikaje eneo la tukio bila mawasiliano?,Kwanini wewe usiweke mawasiliano yako hapa ili iwe rahisi kesho kupatikana?
π€£π€£π€£π€£Wewe nenda kapigwe na Mbu huku ukiamka asubuhi uanze kuumiza kichwa mchana utakula nini!,Dume wewe!
Siwezi kuweka namba zangu hadharani kiasi hicho!Ulieleta offer ndio uweke muda na namba za simu tukupigie mbona unayumba boss πππ
Mbona hueleweki mara demu mara dume?We demu vipi?
Hivyo Visungura ndo nini?
Nashukuru kwa matusi yako!Visungura vishapanda kichwani?
Tena sio dume tu!! Ila dume la mbegu ntakukaza shauri yako ππππ
Ubebe na dume cdm kesho mwali sawa?
Saa ngapi utakuwa tayari eneo la tukio?
Pm hatuji na namba hatuweki hapa, wewe mwenye shida ya kujua umiliki wetu wa kende au kissme ndio uweke namba ππππSiwezi kuweka namba zangu hadharani koasi hicho!
Ishu ilikuwa ni kwa ajili yako na wenzio na utaratibu nikautoa mapema,ilikuwa ni kuja pm kama ungetaka namba yangu ungeipata pm ili mawasiliano yafanyike!.
Hii imetosha kuamini nilichokuwa nina mashaka nacho!
sawa!Mbona hueleweki mara demu mara dume?
Kichwa kishapata moto? ππππ
Huko vilabuni wanabaka uwe makini
Ok!Pm hatuji na namba hatuweki hapa, wewe mwenye shida ya kujua umiliki wetu wa kende au kissme ndio uweke namba ππππ
Wewe ulivyotukana ulikuwa unaona burudani? πππNashukuru kwa matusi yako!
Ilikuwa offer kwa ajili ya wanawake,si kwa ajili ya madume!Wewe ulivyotukana ulikuwa unaona burudani? πππ
Haya pole boss yaishe kesho saa 7 mchana tukutane samaki samaki π
Ko kesho nije au nisije?Ilikuwa offer kwa ajili ya wanawake,si kwa ajili ya madume!
Offer si kwa ajili ya madume.Ko kesho nije au nisije?
Kwani ushaona jinsia yangu? πππ