Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

Mkuu naona unacheka tu lakini tangu asubuhi nimewambia mnipe ratiba zenu ili niweke Oda naona Kimyaaaaa!

Au Ndo mmeingia mitini wewe na wenzio?

Boss nishaandaa nguo hujaona?
Hapa nasubiri ruhusa kutoka kwa babe
We Kantry emu toa ruhusa bas nimwambie boss tunakutana kuanzia saa ngapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Boss nishaandaa nguo hujaona?
Hapa nasubiri ruhusa kutoka kwa babe
We Kantry emu toa ruhusa bas nimwambie boss tunakutana kuanzia saa ngapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mm sina tatizo, lakini akupatie pesa ya mafuta na saloon[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah wee uduguu

Subiri uone km atatuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bundle tu ananisumbua nimuungie, ndiomana nashangaa wanaomfananisha Mh Nikki!!
Sijui walitumia vigezo gani?!! Aloooo
 
Back
Top Bottom