Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Khaaaaa!! ππππNimekwambia ni-pm ili nijue ratiba yako!
Kuni-pm maana yake utaweka na namba ya simu ili iwe rahisi kupigiwa simu,pia kufahamu tunaonana saa ngapi!
Mbona Imekuwa ngumu kunielewa?
Hapo chacha jamani mwenye namba karibu aniazime basi