Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

Subiri uone km atatuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bundle tu ananisumbua nimuungie, ndiomana nashangaa wanaomfananisha Mh Nikki!!
Sijui walitumia vigezo gani?!! Aloooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaa!!!
 
Boss nishaandaa nguo hujaona?
Hapa nasubiri ruhusa kutoka kwa babe
We Kantry emu toa ruhusa bas nimwambie boss tunakutana kuanzia saa ngapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya bana naona unaigiza!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu niwacheee bhana

We mdogoangu nakuchana hapo hamna pesa yoyote, mwenyewe nilijimix nikajua Mh DC nile pesa za miradi hewa.
Kilichonikuta ndio hiki nachunwa mie [emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati yake show anaiweza kwenye uwanja wa fundi seremala lasivyo ningeshamfurusha kitambo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mueleze Huyo mumeo kila mwanamke atakayekuja,Atakula na kunywa chochote atakacho na kupewa Cash Tsh 200,0000/=

Unajua hii JF kuna watu wanadharau sana,nataka mtakaokuja muwasimulie mashosti zenu mashambenga wa humu JF!

Ewaaaah cocastic na leejay mmesikia tuna laki 2 zetu za vocha kutoka kwa boss huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Subiri uone km atatuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bundle tu ananisumbua nimuungie, ndiomana nashangaa wanaomfananisha Mh Nikki!!
Sijui walitumia vigezo gani?!! Aloooo
Hapo sasa, bora umesema ukweli. hapa nilipo nasubiria mechi za kesho nibet mambo yaende[emoji23][emoji23][emoji23]
 
We mdogoangu nakuchana hapo hamna pesa yoyote, mwenyewe nilijimix nikajua Mh DC nile pesa za miradi hewa.
Kilichonikuta ndio hiki nachunwa mie [emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati yake show anaiweza kwenye uwanja wa fundi seremala lasivyo ningeshamfurusha kitambo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sema pesa yako tamu sana[emoji23][emoji23]

Nivumilie tu kuna mchongo nausikilizia[emoji23][emoji23]
 
Mkiwa rahisi thamani yenu inashuka ndio mwisho wake mnakuja kudhalilishwa.

Inapaswa hadi mje kuonana jasho limemtoka kweli

Wachukue notes kwa Lamomy
Mkiwa rahisi thamani yenu inashuka ndio mwisho wake mnakuja kudhalilishwa.

Inapaswa hadi mje kuonana jasho limemtoka kweli

Wachukue notes kwa Lamomy
Usinijumuishe huko mie....sina mpango wa kukutana na mtu humu
 
Back
Top Bottom