Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,574
Anadema tuHongera sana kwako Makamu M/kiti CHADEMA Taifa,ndg John Heche.
Mtazamo na maono Yako Kwa Nchi yetu ni mzuri sana na hasa kama Viongozi waliopo madarakani wangekuwa na fikra kama zako,hii Nchi ingekuwa mbali sana kimaendeleo.
Tuendelee kumuomba Mungu huku tukipambana huenda siku Moja Mungu atatenda sawa sawa na kilio Cha wengi.
KweliTatizo la Chadema huwa wanajikanyaga sana, kuna wakati ni kama wanakuja na kuna wakati wanapotea. Wakati JPM kajifunga mkanda kujenga miundombinu ya nchi wao walisema hawataki maendeleo ya vitu wanataka ya watu. Wakasahau ya kwamba hao watu wenyewe ili waendele wananahitaji vichocheo kama barabara nzuri, masoko mazuri na usafiri wa uhakika na haraka kama treni na ndege.