Tatizo la Chadema huwa wanajikanyaga sana, kuna wakati ni kama wanakuja na kuna wakati wanapotea. Wakati JPM kajifunga mkanda kujenga miundombinu ya nchi wao walisema hawataki maendeleo ya vitu wanataka ya watu. Wakasahau ya kwamba hao watu wenyewe ili waendele wananahitaji vichocheo kama barabara nzuri, masoko mazuri na usafiri wa uhakika na haraka kama treni na ndege.