Heche amjibu Msigwa 'SGR unamjengea nani kama mnaua watu'

Sasa si muiambie dunia ya kwamba mliwaua hao watu wote kwa sababu walliba na kuchoma vitu! Kwa nini sasa mnataka dunia isijue kama polisi wa Tanzania na wahuni wengine waliwaua maelfu ya raia kwa risasi za moto baada ya kuiba na kuchoma vitu?
waliokufa hawafiki hata 200 acheni kuongeza manumber unajua watu elfu wewe ?
 
ndio hasahasa kama na yeye anashmbulia kama wale , polisi walijihami tu na kuokoa wengine wasio na silaha
Kwa akili hizi,kumbe ndio maana Waziri wako wa elimu kasoma Online, na mama yake kasoma soma hadi Form 4 B japo cheti hana
 
Yaani unataka tujadili SGR badala ya maisha ya watu?Shame on you!!! Hiyo SGR hata wakaloni walijenga, wewe Msigwa hujui reli ya kati iliyojengwa na wakoloni ilikua SGR wakati huo?Je unajenga SGR ili itumike kufanya nini kama mnaua binadamu wanaotakiwa kuitumia?Mnajengea wanyama au miti?Hivi akili huwa mnaziweka wapi mnapozungumza?
Hili jibu ni konki kweli kweli
 
Heche yupo sahihi, SGR itachukua miaka 15 hadi imalizike, Hivi wewe unajua reli zinajengwaje? Hao wanaojenga hawakabidhi leo wala kesho, imeshapita miaka 10 tangu imeanza kujengwa wakati wa Magufuli, hadi nchi nzima iunganishwe itachukua miaka zaidi ya 15. Heche alichosema ni kwamba tuchimbe chuma Liganga ili hizo vyuma vitumike kwenye ujenzi badala ya kuagiza vyuma China wakati vyuma vimelala hapa TZ. Kwa taarifa yako wewe Matak& watu waliokufa wengine hawakuandamana, sijui kwanini unajitoa akili? Wewe ni mshenzi wa mwisho, punda usiye na akili na muuaji mkubwa. Mama yako anaendelea kuua watanganyika wasio na hatia, wewe unaongea mavi. Fala wewe.
ujinga wa kiwango cha lami unaongea wewe, toka imeanza mpka leo ina miaka 8 halafu mchuchuma na liganga ni kweli kabisa lakini matumizi ya chuma still bado yapo sana tuyaanza mwakani mwekezaji ameshasign mkataba
 
Kwa akili hizi,kumbe ndio maana Waziri wako wa elimu kasoma Online, na mama yake kasoma soma hadi Form 4 B japo cheti hana
ingekuwa vyeti ni akili leo bakharesa sijui tumwitaje au bill gate aliyeacha chuo? ebu punguzeni funza kichwani jamani
 
Heche yupo sahihi, SGR itachukua miaka 15 hadi imalizike, Hivi wewe unajua reli zinajengwaje? Hao wanaojenga hawakabidhi leo wala kesho, imeshapita miaka 10 tangu imeanza kujengwa wakati wa Magufuli, hadi nchi nzima iunganishwe itachukua miaka zaidi ya 15. Heche alichosema ni kwamba tuchimbe chuma Liganga ili hizo vyuma vitumike kwenye ujenzi badala ya kuagiza vyuma China wakati vyuma vimelala hapa TZ. Kwa taarifa yako wewe Matak& watu waliokufa wengine hawakuandamana, sijui kwanini unajitoa akili? Wewe ni mshenzi wa mwisho, punda usiye na akili na muuaji mkubwa. Mama yako anaendelea kuua watanganyika wasio na hatia, wewe unaongea mavi. Fala wewe.
yaaani katika majitu ambayo ni kansa ya maendelo yetu na huyo basha wako Heche huwa ni mpimgaji wa kila jema toka zamani tafuta video clips zake utatapika
 
Huyu mkurya huwa anaumwa kichaa na chama chao wao ni kupinga kila kitu? huyu alipingaga sana bwawa la mwalimu nyerere, huyu huyu alisema SGR tutajenga miaka 15 leo aibu sana kwake shenzi kabisa, watu waliokufa ni wachache sana na wengi wao waliyataka wenyewe
Huoni wewe ndo unaweza kuwa na kichaa Cha uccm
 
Huyu mkurya huwa anaumwa kichaa na chama chao wao ni kupinga kila kitu? huyu alipingaga sana bwawa la mwalimu nyerere, huyu huyu alisema SGR tutajenga miaka 15 leo aibu sana kwake shenzi kabisa, watu waliokufa ni wachache sana na wengi wao waliyataka wenyewe
Tujadili SGR badala ya vifo. Je, kwenu SGR ni muhimu kuliko uhai? Hiyo ndio hoja, hayo yako ni porojo.
John pia kauliza akili huwa mnaziweka wapi?
 
Nina mashaka na elimu ya huyu jamaa as well,unajua ukiskia baba ndani ya nyumba anasema yeye ndio baba ujue hapo hamna kitu.Omg serikali nzima ni D???no wonder tunaelekea shimoni
 
Sasa si muiambie dunia ya kwamba mliwaua hao watu wote kwa sababu walliba na kuchoma vitu! Kwa nini sasa mnataka dunia isijue kama polisi wa Tanzania na wahuni wengine waliwaua maelfu ya raia kwa risasi za moto baada ya kuiba na kuchoma vitu?
hayo mambo yetu ya ndani wasituingiie mbona sisi hatuwaingliii?
 
Huyu mkurya huwa anaumwa kichaa na chama chao wao ni kupinga kila kitu? huyu alipingaga sana bwawa la mwalimu nyerere, huyu huyu alisema SGR tutajenga miaka 15 leo aibu sana kwake shenzi kabisa, watu waliokufa ni wachache sana na wengi wao waliyataka wenyewe

Mtu shetani na mwendawazimu kama wee usiye na faida ka yeyote, unapata waoi ujasiri wa kuwajibu watu wenye akili timamu walio wazalendo wa kweli?
 
Back
Top Bottom