Ushalipwa?Hata baada ya kesi kufikia hapo ilipofikia kusubiri hukumu bado Heche anawaandaa wafuasi wake waigomee hukumu kama haitakuwa kama anavyotaka yeye iwe.
Nadhani anakoelekea hakuna mwanga na hewa ya kutosha kiafya. Anaibagaza mahakama ionekane haitendi haki na haikutenda haki. Anachochea wananchi wafanye fujo kama mambo hayatakuwa mazuri kwa chadema
View: https://youtu.be/zgwnqp4zhtU?si=JJK6PepZQKwsPBzT
Kwa Wale vibaraka na machawa yule Popo na wenzie walio sema wanataka tundu lisu anyongwe haikua nogwaHata baada ya kesi kufikia hapo ilipofikia kusubiri hukumu bado Heche anawaandaa wafuasi wake waigomee hukumu kama haitakuwa kama anavyotaka yeye iwe.
Nadhani anakoelekea hakuna mwanga na hewa ya kutosha kiafya. Anaibagaza mahakama ionekane haitendi haki na haikutenda haki. Anachochea wananchi wafanye fujo kama mambo hayatakuwa mazuri kwa chadema
View: https://youtu.be/zgwnqp4zhtU?si=JJK6PepZQKwsPBzT
Shida ya Heche na wengine ni kudhani wale wote wanaosogea kwenye mikutano yao ni watu wao wanaowatii wao watakachowaambia na kuwaamuru. Kuwaza hivi ni kosa la kisigino.Kwani Heche tu? Kila mtu anajua kitachojiri maana hii kesi ilitakiwa kufutwa mapema, kesi yenye maneno matupu bila ya ushahidi
Astakafir!!! Kwahiyo hii nchi tunaoneana sana kuli Congo, Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi, Malawi, Zambia, Sudani, Ethiopia, Zimbabwe, Somalia na Nigeria?Hii Nchi tulipofika tunaoneana sana Bora hata kuchinjana tu Ili Kila mtu amuheshimu mwenzie.
Sasa kama Imani yako ni kuwa mahakama haitishwi wala kutishiwa vipi unakuja na hoja kuwa Heche anataka kuilazimisha mahakama?Mahakama iko huru kuamua kwa haki, hailazimishwi lakini haitishwi wala kutishiwa kutoka upande wowote.
Acha upendeleo, wakati yule Kombo anamwambia Lissu akampigie magoti Samiah ili asinyongwe ulimsupport na yule sheikh Mwaipopo aliyetoa wito kwa watu wafunge na kuomba pia ulimsupport.Hata baada ya kesi kufikia hapo ilipofikia kusubiri hukumu bado Heche anawaandaa wafuasi wake waigomee hukumu kama haitakuwa kama anavyotaka yeye iwe.
Nadhani anakoelekea hakuna mwanga na hewa ya kutosha kiafya. Anaibagaza mahakama ionekane haitendi haki na haikutenda haki. Anachochea wananchi wafanye fujo kama mambo hayatakuwa mazuri kwa chadema
View: https://youtu.be/zgwnqp4zhtU?si=JJK6PepZQKwsPBzT
Hata baada ya kesi kufikia hapo ilipofikia kusubiri hukumu bado Heche anawaandaa wafuasi wake waigomee hukumu kama haitakuwa kama anavyotaka yeye iwe.
Nadhani anakoelekea hakuna mwanga na hewa ya kutosha kiafya. Anaibagaza mahakama ionekane haitendi haki na haikutenda haki. Anachochea wananchi wafanye fujo kama mambo hayatakuwa mazuri kwa chadema
View: https://youtu.be/zgwnqp4zhtU?si=JJK6PepZQKwsPBzT
Heche anachofanya na wenzake ni kuitishia serikali na mahakama kwa kuwaandaa wafuasi wake kuikataa hukumu ya mahakama kama itamtia Lissu hatiani. Anawaambia kuwa watamlinda Lissu kama mboni ya jicho. Kila mtu anasubiri kuona watamlindaje Lissu kama mboni za macho yao. Hapo ndipo swala la kuitishia serikali, na mahakama isiamue kwa haki linapokuja.Sasa kama Imani yako ni kuwa mahakama haitishwi wala kutishiwa vipi unakuja na hoja kuwa Heche anataka kuilazimisha mahakama?
Chunguza, hakuna sinema iliyowahi kumalizika kwa wahalifu na uhalifu kushinda.Off course wananchi tayari wana hukumu yao. Ingekuwa ni JURY system .... tayari Lissu anageshatoka.
Heche ahamasishe tu wafuasi wake kwa wingi waende kumpokea Lissu tarehe 6 Nov ili akitoka awhahutubie.
Chunguza, hakuna sinema iliyowahi kumalizika kwa wahalifu na uhalifu kushinda.
Kama Lissu na chadema wanaonewa lazima mwishio wa sinema wale wanaowaonea watashindwa., na kama kuchoma mali ya umma, mali za watu binafsi na kukata watu vidole ni uhalifu lazima waliotenda vitendo hivyo watashindwa tu huko mwisho wa sinema.
Wewe ndiye unaona hawakuzuia vurugu, lakini ukweli ni kwamba kama vurugu zile zisingezuiwa hali ingekuwa mbaya kuliko vile. Kumbuka malengo makuu ya vurugu zile yalikuwa mawili; kuzuia/kuvuruga uchaguzi, na kuleta mabadiliko ya haraka. Maana yake kama vurugu zisingezuiwa basi uchaguzi ungezuiwa/ungevurugwa na mabadiloko ya serikali yangetokea, lakini yote hayo hayajatokea.Sasa waksti wansmkamata mwezi wa 4 walijua kuwa kuna mali za umma na watu binafsi zitachomwa moto? Mbona hawakuzuia kama walijua. By the way Lissu na Chadema ndiyo wahusika, mmeamua kumbebesha msalaba eote Lissu siyo.
Anyway, na waliofwatua risasa na walioamulu watu wauawe wako wapi? So ni Lissu na Chadema?
Malizia walizuia kwa kuua watu zaidi ya elfu 10.Wewe ndiye unaona hawakuzuia vurugu, lakini ukweli ni kwamba kama vurugu zile zisingezuiwa hali ingekuwa mbaya kuliko vile. Kumbuka malengo makuu ya vurugu zile yalikuwa mawili; kuzuia/kuvuruga uchaguzi, na kuleta mabadiliko ya haraka. Maana yake kama vurugu zisingezuiwa basi uchaguzi ungezuiwa/ungevurugwa na mabadiloko ya serikali yangetokea, lakini yote hayo hayajatokea.
Sasa jiulize serikali ilwezaje kuzuia uchaguzi usivurugwe na mabadiliko kutokea?
1. Kwa kumkamata Lissu (steringi)
2. Kwa kumkamata Heche (twice)
3. Kutumia nguvu kubwa kukabiliana na watu wengi waliotawanyika sehemu nyingi kwa wakati mmoja wanaofanya vurugu.
4. Kupata msaada wa wadau wengine kuliongezea jeshi la polisi nguvu, ujanja na technolojia ya kuhangaika na wakora wanaofanana na mungiki, M23, Boko haram, Al-shabab na magaidi.
Hata kama wangekufa 200,000 nisingesjangaa kwakuwa malengo waliyopewa kuyatimiza yalikuwa makubwa mno kwao. Kwanza kuuzuia uchaguzi nchi nzima, pili kuleta mabadiliko ya serikali. Kwa malengo haya hata 10,000,000 unaosema wewe walikuwa wachache sana mno mno mno. Ilikuwa ni kazi ya kufa na kupona hadi malengo yafikiwe.Malizia walizuia kwa kuua watu zaidi ya elfu 10.
Wewe ndiye unaona hawakuzuia vurugu, lakini ukweli ni kwamba kama vurugu zile zisingezuiwa hali ingekuwa mbaya kuliko vile. Kumbuka malengo makuu ya vurugu zile yalikuwa mawili; kuzuia/kuvuruga uchaguzi, na kuleta mabadiliko ya haraka. Maana yake kama vurugu zisingezuiwa basi uchaguzi ungezuiwa/ungevurugwa na mabadiloko ya serikali yangetokea, lakini yote hayo hayajatokea.