Nisichotaka mimi ni kushikiwa akili yangu na mtu mwingine, kubishana kwa taarifa za kuambiwa/hisia na kufuata mkumbo.
Nina uhakika ile No reforms no election ni chadema walishindwa kumdhibiti Lissu (uncontrollable/unstoppable). Mimi kama mimi siwezi kuwa sehemu ya utekelezaji wa wazo ambalo sijashiriki kulichakata na kuzifahamu SWOT zake.
Chadema haina maisha chini ya Lissu na Heche.