Unamuongelea domo kaya Administer ?Domo kaya Domo chafu.Tapeli wa siasa
Mtu hata kazi ya maana hajawahi kufanyaSalaam!
Hayo yamesemwa Leo na kamanda John Heche makamo mkt wa CHADEMA taifa akiwa kahama.
Yaani ikiwa hujaelewa ni hivi, mtanzania yeyote awe boda boda, machinga, muuza mchicha, mkulima ,mfanyabiasha ,mlemavu nk nk, ukifikisha miaka 60,utalipwa pensheni ya uzeeni sababu ulishiriki kuijenga nchi yako kwa miaka yote kabla ya kuzeeka.
Ikumbukwe CHADEMA ya John Heche pia iliahidi kupiga marufuku michezo ya kubahatisha,kamari Ili kuondoa ujinga wa kudhani MAISHA ni bahati ilhal SI kweli.
Sasa Ili ahadi hiyo itimie, Kila mtanzania na aunge mkono hoja ya NRNE Ili kuzuia uchaguzi batili usifanyike kwa maandamano Hadi pale reforms zitapofanyika kupata Tume huru ya uchaguzi.
Usiache kufuatilia mikutano hii ya ukombozi wa nchi yetu.
Mungu Mbariki John Heche,
Mungu ibariki CHADEMA,
MUNGU ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Karibuni 🙏
Jitu zima hovyoDomo kaya Domo chafu.Tapeli wa siasa
Kenge wewe!Domo kaya Domo chafu.Tapeli wa siasa
Hii nchi ni tajiriSalaam!
Hayo yamesemwa Leo na kamanda John Heche makamo mkt wa CHADEMA taifa akiwa kahama.
Yaani ikiwa hujaelewa ni hivi, mtanzania yeyote awe boda boda, machinga, muuza mchicha, mkulima ,mfanyabiasha ,mlemavu nk nk, ukifikisha miaka 60,utalipwa pensheni ya uzeeni sababu ulishiriki kuijenga nchi yako kwa miaka yote kabla ya kuzeeka.
Ikumbukwe CHADEMA ya John Heche pia iliahidi kupiga marufuku michezo ya kubahatisha,kamari Ili kuondoa ujinga wa kudhani MAISHA ni bahati ilhal SI kweli.
Sasa Ili ahadi hiyo itimie, Kila mtanzania na aunge mkono hoja ya NRNE Ili kuzuia uchaguzi batili usifanyike kwa maandamano Hadi pale reforms zitapofanyika kupata Tume huru ya uchaguzi.
Usiache kufuatilia mikutano hii ya ukombozi wa nchi yetu.
Mungu Mbariki John Heche,
Mungu ibariki CHADEMA,
MUNGU ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Karibuni 🙏
Inawezekana,Inawezekana kabisa hizi pesa wanapewa G-55 na miradi yote ya kuua upinzani kwa mwaka ni bilioni ngapi? Zinashindwa kulipa wazee million 2 wenyewe miaka zaidi ya 60 angalau 100k kwa mwezi?
Hii nchi Ina pesa za kucezea lakini pesa ya mambo ya msingi hakuna
Tajiri sana,Hii nchi ni tajiri
Kenge hajawahi kujua kutype JF hata umuelimishe vp,Kenge wewe!
Mfano waendesha guta hulipa 120k kwa mwaka,Makondakita wa daladala kama wewe ni mtu wa dini ya kweli wanaweza kukutoa machozi inaonekana hawana wa kuwasemea kabisa sio sumatra wala wabunge wengine wanavaa ndala zimekatika.
Kwani mbunge anakusanya kodi???broo hacha ushamba...mbunge ni kukuwakilisha tuu bungeni ..yaaani kukusemeaKuongea ni rahisi sana Heche. Miaka Yako 10 ya ubunge embu tueleze initiative yoyote uliyoanzisha au kufanya ya kusaidia watu.
Kenge mama yako na baba yako.Mmezoe kuwatukana G55 nao hawarudishi matusi.Mimi ukinitusi na Mimi nakutusiKenge wewe!
Subiri wananchi waipe CHADEMA hatamu ya uongozi ndipo tiwapime kama ni waongo au la.Kuongea ni rahisi sana Heche. Miaka Yako 10 ya ubunge embu tueleze initiative yoyote uliyoanzisha au kufanya ya kusaidia watu.