Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Hizi ndio sera sasa. Pesa ipo sema matumizi tuSalaam!
Hayo yamesemwa Leo na kamanda John Heche makamo mkt wa CHADEMA taifa akiwa kahama.
Yaani ikiwa hujaelewa ni hivi, mtanzania yeyote awe boda boda, machinga, muuza mchicha, mkulima ,mfanyabiasha ,mlemavu nk nk, ukifikisha miaka 60,utalipwa pensheni ya uzeeni sababu ulishiriki kuijenga nchi yako kwa miaka yote kabla ya kuzeeka.
Ikumbukwe CHADEMA ya John Heche pia iliahidi kupiga marufuku michezo ya kubahatisha,kamari Ili kuondoa ujinga wa kudhani MAISHA ni bahati ilhal SI kweli.
Sasa Ili ahadi hiyo itimie, Kila mtanzania na aunge mkono hoja ya NRNE Ili kuzuia uchaguzi batili usifanyike kwa maandamano Hadi pale reforms zitapofanyika kupata Tume huru ya uchaguzi.
Usiache kufuatilia mikutano hii ya ukombozi wa nchi yetu.
Mungu Mbariki John Heche,
Mungu ibariki CHADEMA,
MUNGU ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania πΉπΏ
Karibuni π
Hakuna mtu asiyefanya kazi,Mtu hata kazi ya maana hajawahi kufanya
Ndumuz sa chakandumuz
Kila mtu anafanya kazi, na kila kazi unayofanya kujenga uchumi wako automatically ni uchumi wa TaifaHakuna mtu asiyefanya kazi,
Ukiona analisha family kihalali,
Jua analipwa Kodi kwa kuchangia uchumi kwa Manu Uzi afanyayo ambayo hukatwa Kodi,
Hivyo mtu huyu ni muhimu akifikisha 60 yrs alipwe mafao na pension ya uzeeni.
Mkuu kule ndani kulikuwa na mamluki.....ngoja tutashuhudia mabadilioo soon.
Watanzania waichague CHADEMA baada ya kufanyika reforms kupata tume huru ya uchaguzi,1,380,000,000,000 kwa mwezi zidisha mara miezi 12 hao ni wazee tu.
Yaani 16,560,000,000,000 kwa mwaka.
N.B kima cha chini kama fedha ya pensheni ni 500000.
hizo fedha zitatoka chanzo kipi cha kodi??
hii ni sawa na ahadi ya ubwabwa ya Hashim Spunda
Haya ndio madini sio kusema nyenyenye wakati Bibi Hana jipyaSalaam!
Hayo yamesemwa Leo na kamanda John Heche makamo mkt wa CHADEMA taifa akiwa kahama.
Yaani ikiwa hujaelewa ni hivi, mtanzania yeyote awe boda boda, machinga, muuza mchicha, mkulima ,mfanyabiasha ,mlemavu nk nk, ukifikisha miaka 60,utalipwa pensheni ya uzeeni sababu ulishiriki kuijenga nchi yako kwa miaka yote kabla ya kuzeeka.
Ikumbukwe CHADEMA ya John Heche pia iliahidi kupiga marufuku michezo ya kubahatisha,kamari Ili kuondoa ujinga wa kudhani MAISHA ni bahati ilhal SI kweli.
Sasa Ili ahadi hiyo itimie, Kila mtanzania na aunge mkono hoja ya NRNE Ili kuzuia uchaguzi batili usifanyike kwa maandamano Hadi pale reforms zitapofanyika kupata Tume huru ya uchaguzi.
Usiache kufuatilia mikutano hii ya ukombozi wa nchi yetu.
Mungu Mbariki John Heche,
Mungu ibariki CHADEMA,
MUNGU ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania πΉπΏ
Karibuni π
Kweli wanamleta Mzee Wassira alielala kabisa hata mchana mkubwaSubiri wananchi waipe CHADEMA hatamu ya uongozi ndipo tiwapime kama ni waongo au la.
Ccm tumeshaizoea,
Tunataka watu wapya, chama kipya uongozi mpya maana SI DHAMBI.
Kweli,Haya ndio madini sio kusema nyenyenye wakati Bibi Hana jopya
Mbona hujaisema na ile ahadi iliyotolewa na Lema ya kuwa Chadema ikiingia madarakani itazifuta Simba na Yanga? Au Lema aliropoka ndio maana hamuizungumzii?Salaam!
Hayo yamesemwa Leo na kamanda John Heche makamo mkt wa CHADEMA taifa akiwa kahama.
Yaani ikiwa hujaelewa ni hivi, mtanzania yeyote awe boda boda, machinga, muuza mchicha, mkulima ,mfanyabiasha ,mlemavu nk nk, ukifikisha miaka 60,utalipwa pensheni ya uzeeni sababu ulishiriki kuijenga nchi yako kwa miaka yote kabla ya kuzeeka.
Ikumbukwe CHADEMA ya John Heche pia iliahidi kupiga marufuku michezo ya kubahatisha,kamari Ili kuondoa ujinga wa kudhani MAISHA ni bahati ilhal SI kweli.
Sasa Ili ahadi hiyo itimie, Kila mtanzania na aunge mkono hoja ya NRNE Ili kuzuia uchaguzi batili usifanyike kwa maandamano Hadi pale reforms zitapofanyika kupata Tume huru ya uchaguzi.
Usiache kufuatilia mikutano hii ya ukombozi wa nchi yetu.
Mungu Mbariki John Heche,
Mungu ibariki CHADEMA,
MUNGU ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania πΉπΏ
Karibuni π
Una utani na Babu yetu Wasira nn!Kweli wanamleta Mzee Wassira alielala kabisa hata mchana mkubwa
Ngoja waingie mamlakani ndio atafafanua alimaanisha kuifutaje,Mbona hujaisema na ile ahadi iliyotolewa na Lema ya kuwa Chadema ikiingia madarakani itazifuta Simba na Yanga? Au Lema aliropoka ndio maana hamuizungumzii?
Ahahahahaha! Ila ya kuwalipa pensheni wazee inaongelewa leo. Ya kuzifuta Simba na Yanga itaongelewa baada ya kuingia madarakani sio? Bila shaka wewe ndio think tank wa Chadema. Big up!ππππNgoja waingie mamlakani ndio atafafanua alimaanisha kuifutaje,
Maana uelewa wa vijana wa ccm huwa ni chini sana!
Kuna mahali Simba na yanga imeongellewa kwa thread?Ahahahahaha! Ila ya kuwalipa pensheni wazee inaongelewa leo. Ya kuzifuta Simba na Yanga itaongelewa baada ya kuingia madarakani sio? Bila shaka wewe ndio think tank wa Chadema. Big up!ππππ
Una utani na Babu yetu Wasira nn!
Wamwaminio Yesu, Mungu moja Katika mwili wa Mwanadamu ni watu Bora sana.Mimi ni chadema ya lisuu ila haya mambo kutajwa tajwa watu wa dini na wanaongoza hizi mambo za imani bora ccm ishinde tuπ€
Ujinga tuu kuna wangese hawaamini huo ujinga ila wapo vizuriWamwaminio Yesu, Mungu moja Katika mwili wa Mwanadamu ni watu Bora sana.
Wapinzani walivyosema wakiingia madarakan elimu ya msingi na sekondari itakuwa bure ccm waliwapinga sana ila ndicho walichokuja kufanya miaka michache mbeleni1,380,000,000,000 kwa mwezi zidisha mara miezi 12 hao ni wazee tu.