PreGE2025 Heche: CHADEMA ikiingia mamlakani baada ya reforms kufanyika, kila Mtanzania mwenye miaka 60 atalipwa pensheni ya uzeeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wapinzani walivyosema wakiingia madarakan elimu ya msingi na sekondari itakuwa bure ccm waliwapinga sana ila ndicho walichokuja kufanya miaka michache mbeleni
Hata ujenzi wa SGR na treni ya umeme walimwiga Slaa akiwa km CDM
 
Please note hajasema watalipwa shilingi ngapi.
Na pesa zitatoka wapi ( kusema kuwa nchi hii ni tajiri sio jawabu).
Sidhani kama watapunguza matumizi kama ununuzi wa mashangingi maana nao wanayapenda pamoja na kupenda kuwa na entourage za kufa mtu.
Hivi SUV ya Lissu iliyokuwa inachangiwa imenunuliwa?

Amandla...
 
Kwakuwa dhamira ni njema,
Na wakisema 2015 wakichaguliwa, watajenga SGR na kununua Treni ya umeme, ccm wakadai haiwezekani,

Alipochaguliwa Magu ikawezekana,

Utoshe kusema CHADEMA iaminiwe, ina Nia njema na watz.
 
Kwakuwa dhamira ni njema,
Na wakisema 2015 wakichaguliwa, watajenga SGR na kununua Treni ya umeme, ccm wakadai haiwezekani,

Alipochaguliwa Magu ikawezekana,

Utoshe kusema CHADEMA iaminiwe, ina Nia njema na watz.
Unaamini kweli wataweza kuwalipa wazee wote pensheni? Pensheni ya kukidhi mahitaji yao?

Amandla...
 
Unaamini kweli wataweza kuwalipa wazee wote pensheni? Pensheni ya kukidhi mahitaji yao?

Amandla...
Ndio,


Matumizi ya serikali ni mapato kwa wananchi wataolipwa,

Na wakishalipwa pesa hizo, wakifanya Manunuzi, serikali itakusanya Kodi kurudi kuwalipa Tena na Tena.

Inawezekana kabisa, ni kupunguza tu matumizi mabaya ya serikali.
 
Mbona hujaisema na ile ahadi iliyotolewa na Lema ya kuwa Chadema ikiingia madarakani itazifuta Simba na Yanga? Au Lema aliropoka ndio maana hamuizungumzii?
Kwani ahadi iliyotolewa kipindi ch Magufuli kuwa kila mwananchi atapewa noha ilikuaje tena.
 
🚮🚮 Akawadanganye nyumbu wenzake
 
1,380,000,000,000 kwa mwezi zidisha mara miezi 12 hao ni wazee tu.
Yaani 16,560,000,000,000 kwa mwaka.

N.B kima cha chini kama fedha ya pensheni ni 500000.
hizo fedha zitatoka chanzo kipi cha kodi??
hii ni sawa na ahadi ya ubwabwa ya Hashim Spunda
Hela za Tanzania Social Action Fund zinatoka wapi (TASAF)
mbona mna utindio wa ubongo,? Hela za magoli ya mama zinatoka wapi? Hela za mashangingi zinatoka wapi, hela za kufanya graduation ya madiwani zinatoka wapi, laki tatu mpaka nne za posho za wabunge zinatoka wapi, matumizi yasiyo na tija Kwa mujibu wa cag Zinatoka wapi? Hela za kuwalipa g55 zinatoka wapi?
 
Kwa hiyo mnaenda kuifuta TASAF?
 
Kwa hiyo mnaenda kuifuta TASAF?
Haya Kuna mahala nimeandika mkuu au unatafuta mahala pa kujifichia? Na umeona TASAF tu ni sio multifaceted aspect ya pensheni Kwa elderly population ambayo inawezekana?
 
Ahahahahaha! Ila ya kuwalipa pensheni wazee inaongelewa leo. Ya kuzifuta Simba na Yanga itaongelewa baada ya kuingia madarakani sio? Bila shaka wewe ndio think tank wa Chadema. Big up!👍👍👍👍
Simba na yanga zina faida gani zifuttwe tu ikiwezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…