Kwani polisi wamesema kisa cha kumkamata?Haiwezekani, anaachiwaje haraka wakati ana tuhuma zinazoweza kumpa kesi ya utakatishaji? Hizo fedha zinazopokewa Nairobi kisha kuingizwa Tanzania kwa mipaka isiyo halali. Kama ni za ugaidi, za unga au uharamia baharini, baadae wanaigiza tone tone ili kuzitakatisha
UWT mmepewa kazi ya kumtafutia kosaHaiwezekani, anaachiwaje haraka wakati ana tuhuma zinazoweza kumpa kesi ya utakatishaji? Hizo fedha zinazopokewa Nairobi kisha kuingizwa Tanzania kwa mipaka isiyo halali. Kama ni za ugaidi, za unga au uharamia baharini, baadae wanaigiza tone tone ili kuzitakatisha
Mjomba unaongea kama unajisaidia ???Haiwezekani, anaachiwaje haraka wakati ana tuhuma zinazoweza kumpa kesi ya utakatishaji? Hizo fedha zinazopokewa Nairobi kisha kuingizwa Tanzania kwa mipaka isiyo halali. Kama ni za ugaidi, za unga au uharamia baharini, baadae wanaigiza tone tone ili kuzitakatisha
Hilo bwege ni km mbwa anambwekea Tembo, halina akili. Anaropoka kinachomjia mdomoni👇
We kima unajua maana ya Rais? Nani wa kumpa shida? Unafikiri ni km huyo mamako hapo nyumbani? Bwege kwlIkifika October huyu mama atapata shida Sana zaidi hasa ndani ya chama chake
Hakuna aibu inayozidi we kuzaliwaIla polisi, wanatia aibu aisee...
Mazako?Hilo lilikuwa ni agizo la maza akamatwe