Heche: Golugwa aachiwe mara moja. Hakuna kosa alilofanya maana ana visa na ticket halali

Haiwezekani, anaachiwaje haraka wakati ana tuhuma zinazoweza kumpa kesi ya utakatishaji? Hizo fedha zinazopokewa Nairobi kisha kuingizwa Tanzania kwa mipaka isiyo halali. Kama ni za ugaidi, za unga au uharamia baharini, baadae wanaigiza tone tone ili kuzitakatisha
 
Mjomba unaongea kama unajisaidia ???
Nakupa taarifa tu kwamba bei ya kitanda kwa mlalahoi mmoja pale muhimbili ni 50000/= kwa siku.
Ulishawahi sikia ccm wakisema hili popote?
 
Natoa wito kwa jeshi la polisi wasimuachie wamuhoji kinaga ubaga hadi aeleze kwanini anaondoka nchini bila kuaga mamlaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…