Heche hataki Lissu atoke, anachekelea umaarufu wa kufa kufaana

Nadhani mnaomba usiku na mchana afe! Hivi bila Chadema Serikali haiwezi kufanya maridhiano na Chauma,Act-Wazalendo,Chausta,NDL,Nccr mageuzi,TLP?
 
Umeandika ujinga tu. 🚮
 
Heche sio hakimu sasa anatakaje lissu abakie ndani?
 
Yaani unapoteza muda kuandika ujinga ambao hata mjinga mwenyewe hawezi akaukubali... Heche alishawahi kukiri hadharani yeye hata kwenye kiganja cha Lissu hajai. Yaani wewe na Habib Mchange ni hasara sana kwenye hili taifa.
 
Huu ni upuuzi na ujinga... Maneno ya Heche ni kinyume kabisa na huu utumbo mnaojiaminisha!
Leteni agenda nyingine! Kwanini mnawaofia CHADEMA ilhali mlishawamaliza?
 
Heche amekuwa mahakama?
 
Mwanaume kutwa nzima kuanzisha nyuzi kibao kumzungumzia mwanaume mwenzako huu ni umama tutakushonea dera la kijani na kukuvisha shanga za rangi ya njano na kijani.
 
Tatizo ukiwa CCM ni tatizo pia.
 
Basi mtoeni ili heche asipate faida.
 
Kwenye ule uzi huyu mleta uzi walisahau kumuweka kwenye orodha ya chawa wa mama wanaoanzisha uzi kwa kubadilishana kwa kumsifia hata kwa mabaya, fanyeni kum-ignore tu no way out!
 
Unajibishana na robot la watawala..

Atakujibu tofauti na ukweli wako. Achana naye mkuu.
 
Ww utakuwa ni mzee lazima, wazee ndio huwa wanaokotwa na propaganda za kichovu hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…